Nauliza, AshaDii...

Nauliza, AshaDii...

Status
Not open for further replies.
How now na mimi ni kaka yao na wao ni dada zangu..!!!

I LOVE YOU ALL WAJUKUU WENZANGU...
(Babu, nitambulishe wengine basi..)

Wewe si umevunjwa moyo tu jana... you want to peleka hasira zako to wengine...lol

Na i hope akutumbulishe wanaume kwanza badala ya mabinti...
 
Wewe si umevunjwa moyo tu jana... you want to peleka hasira zako to wengine...lol

Na i hope akutumbulishe wanaume kwanza badala ya mabinti...

Hahah..ashadii, si ndio nakimbilia kwa ndugu zangu (wa kike) knowing kwamba hapo sivunjwi moyo..napewa upendo wote!!!
 
Babu mshkaji tu haezi kataa...
Babu: Ukikataa nakusemea kwa bibi kile kitu.

Last I remember.....he used to prevent me to.....
Hiyo hapo sina uhakika unamaanisha nini..........
 
Hahah..ashadii, si ndio nakimbilia kwa ndugu zangu (wa kike) knowing kwamba hapo sivunjwi moyo..napewa upendo wote!!!

Taratibu Mentor... for you to love again you have to heal... (saizi wewe ni one nite stand kwa mda)
 
Taratibu Mentor... for you to love again you have to heal... (saizi wewe ni one nite stand kwa mda)

Hahaha...dadangu, hawa ni ndugu kama wewe tu...WAJUKUU WENZA!
 
Darling kuna mdada Mkenya kamtenda... na Mentors mind, heart and soul was all on her... Sad.

Dada, chunga usizidishe chumvi ukanikimbizia ndege..

Well, the good news is:
Kwa sasa, Mentor's mind, heart, and soul are all free!!! (Hint! Hint!)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom