Nauli ya Makumbusho - Bagamoyo inashangaza

Kuna boti aliyonunua waziri wa ujenzi Mhe. Magufli, je ? haijaanza kutoa huduma ya usafiri wa Bagamoyo, Je ? wana mpango wa kuanza kusafirisha abiria lini ? Je ile boti iko wapi kwa sasa na inafanya nini ? Je Kule Mafia kuna boti ya uhakika mpaka hii ipelekwe Bagamoyo kusikoi na shida ya usafiri ? Nauli ya hii boti ya kisasa itakua bei gani ?

Unadhani ukipanda mahindi leo utaanza kuyavuna leo? Kuna mh.mmoja aliahidi kukausha kibwawa cha maji ambacho ni chanzo cha mazalia ya mbu ila hadi sasa hako kabwawa bado kapo na kanasumbua wananchi wake, tena huyo mh halmashauri ipo chini ya chama chake na ameshindwa kukausha hicho kibwawa, nadhani atawajibishwa this time pamoja na ahadi zingine alizochemsha .
 
Mwaka huu sina wasiwasi. Kuna ahadi kwamba ifikapo 2020 kila mkulima atakua na trekta lake binafsi hawataishia hapo tu sisi walimu tutakua na laptop, haluu nitakua sitoki JF.
Viwanda vimeanza kufufuliwa, hivyo ajira zitakua za kumwaga. Usafiri nasikia kwa sababu mafuta yatashuka sana bei kwa sababu ya gesi, nauli ya Bagamoyo itakua mia nne au tano ukipata konda mhuni. Ndege zitaruka mpaka Singida na Handeni kwa bei chee.
Asiyena mwana aeleke jiwe.
 
Yaani hizi gari za abiria za bagamoyo zinatunyanyasa sana abiria. Nauli wanajipangia wao. Mfano;nauli kutoka Makumbusho hadi Kizuiani ni 1200, lakini wao wanakwambia ukipandia kwenye foleni 2200 ushuke Tegeta, Bunju, Mapinga, Kerege, Zinga nauli hiyohiyo. Sasa inakuwaje mtu anayeshukia njiani ambaye kwa mujibu wa chati ya SUMATRA anatakiwa kulipa kulingana na chati inavyosomeka umlazimishe alipe sawa na anayekwenda Bagamoyo?? Halafu zile chati walilazimishwa kipindi fulani wazibandike lakini hivi sasa wamezibandua zote. Yaani ni shida juu ya shida. Nishapelekwa polisi mara mbili kwa kuupinga wizi huu. Nilikuwa naenda home Mapinga kutokea Mwenge na nauli ni 1200 wakanilazimisha nilipe 2,200 kwasababu nimepandia kwenye foleni. Tana kuna abiria wakajifanya wanajua wakataka wanilipie utadhani sina nauli. Lakini nilifurahishwa na yule askari. Aliomba nauli ya SUMATRA konda akasema hana, bahati nzuri mimi nilikuwa nayo. Aliandikiwa 200,000 na zilimtoka. Na abiria wote waliokaa na kulipishwa nauli zisizo walirudishiwa nauli zao. Tena aliambia ticket zote aandike kituo unachopandia na unachoshukia. Maana wao huwa wanaandika Makumbusho to Bagamoto au Dar to Bagamoyo ili ukilalamika wakukane. Wakati kama unatoka Makumbusho unashuka Mapinga wanatakiwa waandike Makumbusho to Mapinga. Ila yote haya yataisha. Maana Mbezi, Kibamba na Mbagala lilikuwepo tatizo hili lakini limekwisha. Bagamoyo mamwinyi wengi. Wageni watakubadilisha tu.
 
Nadhani kulingana na nauli elekezi za SUMATRA nauli ni shs 50 kwa kila KM kwa mabasi ya mkoa. Kutoka Makumbusho hadi Bagamoyo ni KM 60. Hivyo nauli toka Makumbusho hadi Bagamoyo ni shs 3,000 =50x60 kwa maana ingine hio nauli ya shs 2,200 ni rahisi sana uwe umekaa, umesimama au umechuchumaa

nimeipenda sana hii
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Sasa wakitoa viti msimame si ndio ujazo wa abiria unakua mkubwa na pesa wanachukua ndefu?@ivuga
 
ushabiki kila kona
Unadhani ukipanda mahindi leo utaanza kuyavuna leo? Kuna mh.mmoja aliahidi kukausha kibwawa cha maji ambacho ni chanzo cha mazalia ya mbu ila hadi sasa hako kabwawa bado kapo na kanasumbua wananchi wake, tena huyo mh halmashauri ipo chini ya chama chake na ameshindwa kukausha hicho kibwawa, nadhani atawajibishwa this time pamoja na ahadi zingine alizochemsha .
 
asante kwa ufafanuzi

Back
Top Bottom