Nauli ya Makumbusho - Bagamoyo inashangaza

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Nikiwa kabwela na makabwela wenzangu nimepigwa butwaa na nauli ya Kutoka Kituo cha Makumbusho Dar hadi Bagamoyo kwani KUKAA NI SHILINGI 2200 ilihali kusimama ni shilingi 1500

Kautafiti kangu kadogo kamenionesha kwamba kuna abiria wanaokula timing wakisubiri lijae kwanza ndio wapande kwa buku jero ikiwa ni pamoja na kujibana kutokana na hali ngumu (ilinigusa sana sio siri)

Nimejiuliza

  • Utaratibu huu unatambulika kwa vyombo vya uwajibikaji kama SUMATRA?
  • Hivi abiria wote tukiamua kusimama watachaji hiyohiyo 1500?
  • kwa nini utaratibu kama huu usitumike kwa vyombo vingine kama vile mabasi ya mikoani, Treni na hata mabasi ya kasi yanayokuja maana nimeona yana mishikio kwa watakaosimama
 
Mkuu unawaza nini..!!??
Hujui kuzidisha abiria ni kosa kisheria,asa sumatra watajuaje!!??
By the way,usafir wa mabasi ya baga ndio yenye fair kuliko usafir mwingine wowote TZ,yan unamjali mtu...maana kusimama kwa km 60 sio mchezo....
Safi baga-dar,nawapenda sana
 
ahahahaaa.... kweli kabisa!!
 
Wenye ma bus huwaita ngedere abiria waliozidi au wanaosimama.
Kwa hiyo wametofautisha nauli ya binadamu na ngedere!
 
pia ni usafiri pekee ambao hauna kugombana unafika kituoni na kuamua utasimama au utakaa
Mkuu unawaza nini..!!??
Hujui kuzidisha abiria ni kosa kisheria,asa sumatra watajuaje!!??
By the way,usafir wa mabasi ya baga ndio yenye fair kuliko usafir mwingine wowote TZ,yan unamjali mtu...maana kusimama kwa km 60 sio mchezo....
Safi baga-dar,nawapenda sana
 
Nadhani kulingana na nauli elekezi za SUMATRA nauli ni shs 50 kwa kila KM kwa mabasi ya mkoa. Kutoka Makumbusho hadi Bagamoyo ni KM 60. Hivyo nauli toka Makumbusho hadi Bagamoyo ni shs 3,000 =50x60 kwa maana ingine hio nauli ya shs 2,200 ni rahisi sana uwe umekaa, umesimama au umechuchumaa
 
nani kasema shng50 kilomita moja
 
Kuna boti aliyonunua waziri wa ujenzi Mhe. Magufli, je ? haijaanza kutoa huduma ya usafiri wa Bagamoyo, Je ? wana mpango wa kuanza kusafirisha abiria lini ? Je ile boti iko wapi kwa sasa na inafanya nini ? Je Kule Mafia kuna boti ya uhakika mpaka hii ipelekwe Bagamoyo kusikoi na shida ya usafiri ? Nauli ya hii boti ya kisasa itakua bei gani ?
 
Ikianza kazi nafikiri nauli itakuwa 400
 
Nikiwa kabwela na makabwela wenzangu nimepigwa butwaa na nauli ya Kutoka Kituo cha Makumbusho Dar hadi Bagamoyo kwani KUKAA NI SHILINGI 2200 ilihali kusimama ni shilingi 1500

Kautafiti kangu kadogo kamenionesha kwamba kuna abiria wanaokula timing wakisubiri lijae kwanza ndio wapande kwa buku jero ikiwa ni pamoja na kujibana kutokana na hali ngumu (ilinigusa sana sio siri)

Nimejiuliza

  • Utaratibu huu unatambulika kwa vyombo vya uwajibikaji kama SUMATRA?
  • Hivi abiria wote tukiamua kusimama watachaji hiyohiyo 1500?
  • kwa nini utaratibu kama huu usitumike kwa vyombo vingine kama vile mabasi ya mikoani, Treni na hata mabasi ya kasi yanayokuja maana nimeona yana mishikio kwa watakaosimama

Kwa mujibu viwango vya #SUMATRA April 2015 kilometer 1 no Tsh. 34 kwa Barbara za lami magari ya masafa that means kutoka Bmoyo-Dar ni approx 61Km X 34sh = 2070/=.
Sasa kutokea hapo unaweza kuwa na point ya kuongea. Over.???
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Kuna boti aliyonunua waziri wa ujenzi Mhe. Magufli, je ? haijaanza kutoa huduma ya usafiri wa Bagamoyo, Je ? wana mpango wa kuanza kusafirisha abiria lini ? Je ile boti iko wapi kwa sasa na inafanya nini ? Je Kule Mafia kuna boti ya uhakika mpaka hii ipelekwe Bagamoyo kusikoi na shida ya usafiri ? Nauli ya hii boti ya kisasa itakua bei gani ?

hv hapo m2 aanze kujbu lp naoo je? zmezd humo
 
Back
Top Bottom