smillinggal
Member
- Dec 31, 2017
- 11
- 2
Habarini wakuu
Naombeni kujua gharama za kusafiri kutoka Tanzania kwenda China mji wa Guangzhou
Naombeni kujua gharama za kusafiri kutoka Tanzania kwenda China mji wa Guangzhou
Kwani China ni MbagalaNi jero tuhh ya kitanzania
Haha haha au hujui hela ya kitanzania imeongezeka thamaniKwani China ni Mbagala
Asante mkuunafikiri ukigoogle tu au ukaenda kwa agents wa safari za anga unapata mkuu
Google cheaper flights to China, weka tarehe zako za safari na mji inaotoka na inakokwenda. Unapata majibuAsante mkuu
Asante skyGoogle cheaper flights to China, weka tarehe zako za safari na mji inaotoka na inakokwenda. Unapata majibu
Yani wanakera sio siriMtu kama haujui si ukae kimya tu!!ya nini kujibu thread isokuhusu..humu kuna watoto wajuzi wanaharibu shape ya jf.. kila thread lazima wakomenti wao,kwani lazima!?.kama huna namna ya kumsaidia mtu piga kimya wenye uwezo wapo watasaidia..unakuta mtu hata kupanda ndege kwenda Zanzibar tu hajawai ila Leo ndo wakwanza kwenye thread zinazoulizia nauli za kwenda China...
Majibu ya kitoto haya. Hebu kuwa serious, sio lazima uchangie post km huna taarifa/jibu sahihi..Ni jero tuhh ya kitanzania
Wengine hawa hapa ujinga ujinga mtupuHivi naweza kupata gari ya moja kwa moja kutoka mbagala mpaka zanzibar? Nauli ni shilling ngapi? Na ninachukua muda gani
Mkuu hawataki utani bado unaendeleza utaniHivi naweza kupata gari ya moja kwa moja kutoka mbagala mpaka zanzibar? Nauli ni shilling ngapi? Na ninachukua muda gani
nadhani ungeainisha moja kwa moja tu kuwa ukisafili kwenye class hii bei ni hii n.kInategemea unataka ukae class gani mkuu ,ukae Economy au Business class??
OK Kwa Ndege za China Southern Airlines Ni $996nadhani ungeainisha moja kwa moja tu kuwa ukisafili kwenye class hii bei ni hii n.k
Habarini wakuu
Naombeni kujua gharama za kusafiri kutoka Tanzania kwenda China mji wa Guangzhou