Nauli ya kutoka Tanzania kwenda China kwa ndege

Mkuu Ndege cheap kutoka Dar ni Ethiopian Airlines hii Connection utaifanyia Addis Ababa, pia kuna Kenya Airways hii Connection utaifanya Nairobi na Bangkok kisha unaingia Guangzhou, lakini unaqeza search ndege cheap zaidi kupitia website za SKYSKANNER na XPEDIA hao ndio Online Agents ambao nawaamini kwa kutoa tickets in cheap price!
NB: Ukisearch mara nyingi nauli ni 1.2 ml. Kushuka chini
 
Emirates wanatoa 798$ g return sema waiting time pale Dubai ndio utajuta
 
@Mood @Invisible anatakiwa kuanza kutembeza ban kwa wanaozani JF in face book kuna watu comments zao kila mjadala in jokes tu dah hatukatai hata sisi kuna mda huwa tunapuyanga ila tunapuyanga for some reason, mfano Uzi ukiwa hauna maana inabidi ujibu ulivyo sasa hapa MTU ansuliza jambo LA msingi sana MTU ana comment ujinga
rejeeni comment za wachangiaji huko juu
 
Habarini wakuu
Naombeni kujua gharama za kusafiri kutoka Tanzania kwenda China mji wa Guangzhou

Nauli za ndege hutegemea sana (1) shirika unalosafiri nalo (2) muda unaokata tiketi na siku utakayosafiri (3) kama unakata nauli ya kwenda na kurudi. Hivyo ni vigumu kukupa jibu la moja kwa moja. Hata hivyo, unaweza kutembelea hapa Réservez vos vols en toute confiance | Google Vols ingiza mji unaotoka (nadhani ni Dar) na huo unakoenda. Pia weka tarehe unazotaka kusafiri, kisha utapata estimates za gharama. Unaweza pia kuweka track feature, Google watakutumia email kila nauli hizo zinapobadilika.

All the best.
 

Attachments

  • Screen Shot 2018-01-16 at 19.47.34.png
    Screen Shot 2018-01-16 at 19.47.34.png
    77.7 KB · Views: 173

Similar Discussions

Back
Top Bottom