- Thread starter
- #21
Hujawahi kusikia meneja wa kampuni amegoma, sawa. Je, umeshawahi kusikia mganga mkuu wa hospitali amegoma? waganga wakuu ndio wanaofukuza madaktari waliogoma. Meneja ni sawa na mganga mkuu.
Kama udaktari umekushinda ni udhaifu wako mwenyewe na sio kosa la taaluma ya udaktari. Huna skills za kuuza ndio maana, wenye skills wanaenjoy profession yao fresh tu...
Kama vifaa tu vya hospitali ya Serikali imeshindwa kununua hizo skill utauzaje?