Yaani umenikumbusha machungu tangu wabandil bundle wamekuwa makatili kama Kapuya. Nasubiri amri yako tu nikawa-westgate pale makao makuu yao au nifanyeje?Bando ya voda ilivyobadilishwa haimjali mteja na sijui kama huyo jamaa aliyetoa wazo hili ameliweka kiushindani au anataka kufanya nn.Nilikua naona kwamba haya makampuni ya simu yalikua yanarahisisha mawasiliano ila kwa upande mwingine naona lengo kubwa ni kutengeneza faida na hapa ndio naona Serikali kupitia Kale kajamaa TCRA wanatakiwa waseme kitu
wadau mnaonaje?
Kashikamane namawaziri mizigo wa Nape sio sisi, VODA wizi mtupu.Wengine simcard zetu ndio maisha yetu yalipo, tutashikamana tu hivyo hivyo.
Mimi nimehamia airtell ila nina voda na tigo penye unafuu ndo nahamia
Kashikamane namawaziri mizigo wa Nape sio sisi, VODA wizi mtupu.
vodacom ni wapuuzi kabisa. Wamevuruga kila kitu. Najiandaa kujiunga airtel, naambiwa wao walau wana huruma. Voda bure kabisa!!
Vodacom ni wapuuzi kabisa. Wamevuruga kila kitu. Najiandaa kujiunga Airtel, naambiwa wao walau wana huruma. Voda bure kabisa!!
Yaani unajiandaa?
Mi nilidhani ushanunua line ya airtel umeanza na ka bando ka elfu 10 dakika 300 msg 700 na 1gb ya data.
Enewei, endelea kujiandaa bhana.
bando la elfu kumi linaexpire baada ya mda gani mkuu??