Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 6,241
- 2,811
We ndo unayelazimisha kwanini usiheshimu misimamo ya watu wengine
Yesu ni Mungu na alikufa msalabani na damu yake tunaitumia hata sahivi nimetoka kuitumia
YESU NI MTUMISHI WA MUNGU, HIVYO YEYE SI MUNGU!
Yesu (AS) akasema; “Kama vile Mwana wa Adamu hakuja kutumikiwa, bali kutumika.” [Mathayo 20:28]
“Tazama mtumishi wangu (Yesu), niliyemchagua.” [Mathayo 12:18]
"Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka, amemtukuza mtumishi wake Yesu." [Matendo 3:13]
"Kwa maana ni kweli juu ya mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta." [Matendo 4:27]