Natubu nilikula kuku na mayai

Natubu nilikula kuku na mayai

Status
Not open for further replies.

gen parton

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
642
Reaction score
412
Mimi mfanyakazi serikalini. Nakumbuka ilikua miaka ya elfu mbili mwanzoni hivi nikiwa single boss alinipenda sana kutokana na haiba yangu ya ukimya na upole kuna kipindi alinipeleka kulinda mji wako ulioko maeneo ya mikocheni nyumba hii alikua anapangisha sababu yeye alikua anaishi na familia yake katika mji wake mwingine ulioko tabata,baada ya siku chache alimleta binti yake aliekua anaitwa jack (sio jina harisi) aliyekua kamaliza chuo UK kuja tukae nae pale mikocheni coz tbt nyumba ilikua ndogo tukaanza maisha mapya na yule binti japo mwanzo sikuwahi kufikilia kua tungeishia kula tunda la adamu na hawa sababu binti mwenyewe licha kuonekana matawi pia alikua na dharau za hapa na pale coz alikua mambo safi mkoko wa haja mimi nikawa namfungulia geti bila kinyongo si unajua aliepewa kapewa.maisha yakaendelea ndani ya wiki moja tu jack uzalendo ukamshinda akaanza kujilengesha flani hivi sikufanya ajizi tukamalizana ndani ikawa gemu daily wakija watoto wa kishua kwa jack nikawa nawainjoy jioni gemu kama kawa. akaja mama yake mke wa boss alikua anapenda kuja kushinda mikocheni jioni dereva anamfuata huyu mama alikua mbabe sana kiasi hata boss pamoja kua kazini alikua akiogopwa sana nyumbani alikua hana sauti hadi utamuonea huruma basi bi mkubwa akaanza zile sitakinataka akawa mkali juu yangu ananipelekesha hasa jack akiwa hayupo tuliendelea na maisha yale mpaka bi mkubwa siku moja si akanijia kisportsport nakakubali yaishe tukamalizana kisport jack machale yakawa yanamcheza baada ya kuana mama yake kbadili swaga juu yangu badala kua mkali siku hizi kawa mpole juu yangu yaani very friendly hapa nikili mama jack alikua anaaproach 50yrs ila ni wale akina mama ambao hawakubali kupitwa na wakati vitop vipedo kama kawa, na kwenye uzoefu kama kawa nani kasema ngombe anazeeka maini? , kuna kipindi boss aliniondoa home baadae akanirudisha kwa kile nilichokuja kujua baadae ni shinikizo la mama jack mbaya zaidi baada kipindi kifupi boss alipata safari kikazi nje ya nchi hapo ndio ukawa uhuru wa manyani yaani mpaka anauja mwenye shamba. kuna siku jack alisahau simu home bila kujua nikatuma love text kumbe simu bi mkubwa anayo niliwashiwa moto na bi mkubwa sasa suala likawa juu yao nashukuru harikufika nje wakamalizana juu kwa juu sijui njia gani lakini baada ya lile soo nilihisi boss angelipata na ajira ingeishia hapo lakini halikuwahi kumfikia nashukuru. jack baada ya hapo aliondoka nyumbani na kwenda kukuaa na shangazi yake uswasi moja mitaa ya magomeni mikumi japo niliendelea kugonga ngozi ila ni kwa siri sana kuna kupindi nijutia tabia ile nilisikia nafsi kunisuta sana leo natubia dhambi hii hadharani dunia nihurumie
 
Pole sana kwa kitendo kibaya ulichofanya... Ni jambo la kishenzi tu! Si la kujisifia kwa akili ya kijinga unajisifia
 
Daaaaaaaaahhhhhh.....!
Mungu wetu ni mwingi wa huruma sana laa sivyo sijui nani angesimama.
 
Maelezo yako hayaonyeshi kujutia kile ulicho kifanya. Jambo ulilofanya ni kukiri, kama unataka kutubu yakupasa kufanya hivyo kwa Muumba wako na sio kwetu sisi waja wake.
 
vipi huyo mama jack,maziwa hayapo kama ndala?yanafika hadi kitovuni au?
 
hongera bwana kwa kugawa dozi japo hijatuambia yupi kati yao alikua hot kwako! nahisi mbuzi mzee alinona zaidi au co?.
 
nakupa hongera ya kutafuta ukimwi kwa kupenda...ni wachache wenye moyo huo kwa dunia yetu ya sasa
 
Poa kama umekiri kosa na mbele ya mungu unastahili kusamehewa pia kwetu wana-adamu...

Lakiniiii..jeeeeee...

Umeacha hiyo tabia kwa jack na mamake tuu au bado unaendelea kwa fatuma na mamake huko duniani kwako ulipo???

Tafakari kisha tupe jibu.
 
gen parton kama unatubu toka moyoni, nakutakia kila la kheri! Unapaswa pia kumshukuru Mungu kwamba kunaswa na boss wako maana sijui angekufanya nini, unamchezea mkewe na bintiye?
 
Sheria ya kutubu lazima ulie mkosea umuombe kwaza msamaha ss ww umemwambia huyo bb kwamba uliwahi kutembea na mke wake na mtoto wake? Na ndio utubu tofati na hayo unajidanganya
 
Chamtoto watu tumekula mpaka manyoya na maganda ya mayai..!?
 
kwa kuangalia jinsi ulivyoandika haioneshi kama una nia ya dhati kutubu, kumbuka hukutukosea sisi. umemkosea boss wako na Mungu wako, hao ndio unaopaswa uwaombe msamaha. sisi hatuna uwezo wa kukusamehe
 
Mimi mfanyakazi serikalini. Nakumbuka ilikua miaka ya elfu mbili mwanzoni hivi nikiwa single boss alinipenda sana kutokana na haiba yangu ya ukimya na upole kuna kipindi alinipeleka kulinda mji wako ulioko maeneo ya mikocheni nyumba hii alikua anapangisha sababu yeye alikua anaishi na familia yake katika mji wake mwingine ulioko tabata,baada ya siku chache alimleta binti yake aliekua anaitwa jack (sio jina harisi) aliyekua kamaliza chuo UK kuja tukae nae pale mikocheni coz tbt nyumba ilikua ndogo tukaanza maisha mapya na yule binti japo mwanzo sikuwahi kufikilia kua tungeishia kula tunda la adamu na hawa sababu binti mwenyewe licha kuonekana matawi pia alikua na dharau za hapa na pale coz alikua mambo safi mkoko wa haja mimi nikawa namfungulia geti bila kinyongo si unajua aliepewa kapewa.maisha yakaendelea ndani ya wiki moja tu jack uzalendo ukamshinda akaanza kujilengesha flani hivi sikufanya ajizi tukamalizana ndani ikawa gemu daily wakija watoto wa kishua kwa jack nikawa nawainjoy jioni gemu kama kawa. akaja mama yake mke wa boss alikua anapenda kuja kushinda mikocheni jioni dereva anamfuata huyu mama alikua mbabe sana kiasi hata boss pamoja kua kazini alikua akiogopwa sana nyumbani alikua hana sauti hadi utamuonea huruma basi bi mkubwa akaanza zile sitakinataka akawa mkali juu yangu ananipelekesha hasa jack akiwa hayupo tuliendelea na maisha
yale mpaka bi mkubwa siku moja si akanijia kisportsport nakakubali yaishe tukamalizana kisport jack machale yakawa yanamcheza baada ya kuana mama yake kbadili swaga juu yangu badala kua mkali siku hizi kawa mpole juu yangu yaani very friendly hapa nikili mama jack alikua anaaproach 50yrs ila ni wale akina mama ambao hawakubali kupitwa na wakati vitop vipedo kama kawa, na kwenye uzoefu kama kawa nani kasema ngombe anazeeka maini? , kuna kipindi boss aliniondoa home baadae akanirudisha kwa kile nilichokuja kujua baadae ni shinikizo la mama jack mbaya zaidi baada kipindi kifupi boss alipata safari kikazi nje ya nchi hapo ndio ukawa uhuru wa manyani yaani mpaka anauja mwenye shamba. kuna siku jack alisahau simu home bila kujua nikatuma love text kumbe simu bi mkubwa anayo niliwashiwa moto na bi mkubwa sasa suala likawa juu yao nashukuru harikufika nje wakamalizana juu kwa juu sijui njia gani lakini baada ya lile soo nilihisi boss angelipata na ajira ingeishia hapo lakini halikuwahi kumfikia nashukuru. jack baada ya hapo aliondoka nyumbani na kwenda kukuaa na shangazi yake uswasi moja mitaa ya magomeni mikumi japo niliendelea kugonga ngozi ila ni kwa siri sana kuna kupindi nijutia tabia ile nilisikia nafsi kunisuta sana leo natubia dhambi hii hadharani dunia nihurumie


Ndugu yangu . . JF hakuna wanaloweza kusamehe ni Mungu mwenyewe awezaye.... Utubu na umrudie kweli kweli. Pole
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom