Natubu nilikula kuku na mayai

Natubu nilikula kuku na mayai

Status
Not open for further replies.
hahaa mie nakumbuka stori ya uncle wangu,mme wa my aunt
yeye alikuwa kamuoa ant yangu halafu akatembea na mdogo wake
mke wake ambae pia ni anti yangu............
ilikuwa kivumbi ile mbaya,
 
kwa kuangalia jinsi ulivyoandika haioneshi kama una nia ya dhati kutubu, kumbuka hukutukosea sisi. umemkosea boss wako na Mungu wako, hao ndio unaopaswa uwaombe msamaha. sisi hatuna uwezo wa kukusamehe

mungu anasamehe ni kweli,
ila sometimes you just wish to share with people
your story ili japo uweze kupata a certain relief!!!!!
 
mungu anasamehe ni kweli,
ila sometimes you just wish to share with people
your story ili japo uweze kupata a certain relief!!!!!

i can agree with you, but that should come after repenting to God. as human being we keep on sinning but when we recognize we are wrong it is good to turn back to God. He alone can grant us with true peace and give a permanent relief.
 
Omba msamaha kkwa Mungu kwamba ulitereza kwenye dimbwi la dhambi...na ki bin adam ulikuwa unajiliwaza na shida zako za maisha kufanya vile ulijiona na wewe mko level moja sababu mnabadilishana maungo!ungeomba usaidiwe kimaisha hata kwa kukusomesha kitu ambacho kingekufaa maishani!!au uliona ufahari kuwaingia tu?
 
i can agree with you, but that should come after repenting to God. as human being we keep on sinning but when we recognize we are wrong it is good to turn back to God. He alone can grant us with true peace and give a permanent relief.

Thanks for the preach........
 
Ahaha...as long as yai halikuwa bichi then it was fine!
 
naomba namba ya hilo lijimama
Mimi mfanyakazi serikalini. Nakumbuka ilikua miaka ya elfu mbili mwanzoni hivi nikiwa single boss alinipenda sana kutokana na haiba yangu ya ukimya na upole kuna kipindi alinipeleka kulinda mji wako ulioko maeneo ya mikocheni nyumba hii alikua anapangisha sababu yeye alikua anaishi na familia yake katika mji wake mwingine ulioko tabata,baada ya siku chache alimleta binti yake aliekua anaitwa jack (sio jina harisi) aliyekua kamaliza chuo UK kuja tukae nae pale mikocheni coz tbt nyumba ilikua ndogo tukaanza maisha mapya na yule binti japo mwanzo sikuwahi kufikilia kua tungeishia kula tunda la adamu na hawa sababu binti mwenyewe licha kuonekana matawi pia alikua na dharau za hapa na pale coz alikua mambo safi mkoko wa haja mimi nikawa namfungulia geti bila kinyongo si unajua aliepewa kapewa.maisha yakaendelea ndani ya wiki moja tu jack uzalendo ukamshinda akaanza kujilengesha flani hivi sikufanya ajizi tukamalizana ndani ikawa gemu daily wakija watoto wa kishua kwa jack nikawa nawainjoy jioni gemu kama kawa. akaja mama yake mke wa boss alikua anapenda kuja kushinda mikocheni jioni dereva anamfuata huyu mama alikua mbabe sana kiasi hata boss pamoja kua kazini alikua akiogopwa sana nyumbani alikua hana sauti hadi utamuonea huruma basi bi mkubwa akaanza zile sitakinataka akawa mkali juu yangu ananipelekesha hasa jack akiwa hayupo tuliendelea na maisha yale mpaka bi mkubwa siku moja si akanijia kisportsport nakakubali yaishe tukamalizana kisport jack machale yakawa yanamcheza baada ya kuana mama yake kbadili swaga juu yangu badala kua mkali siku hizi kawa mpole juu yangu yaani very friendly hapa nikili mama jack alikua anaaproach 50yrs ila ni wale akina mama ambao hawakubali kupitwa na wakati vitop vipedo kama kawa, na kwenye uzoefu kama kawa nani kasema ngombe anazeeka maini? , kuna kipindi boss aliniondoa home baadae akanirudisha kwa kile nilichokuja kujua baadae ni shinikizo la mama jack mbaya zaidi baada kipindi kifupi boss alipata safari kikazi nje ya nchi hapo ndio ukawa uhuru wa manyani yaani mpaka anauja mwenye shamba. kuna siku jack alisahau simu home bila kujua nikatuma love text kumbe simu bi mkubwa anayo niliwashiwa moto na bi mkubwa sasa suala likawa juu yao nashukuru harikufika nje wakamalizana juu kwa juu sijui njia gani lakini baada ya lile soo nilihisi boss angelipata na ajira ingeishia hapo lakini halikuwahi kumfikia nashukuru. jack baada ya hapo aliondoka nyumbani na kwenda kukuaa na shangazi yake uswasi moja mitaa ya magomeni mikumi japo niliendelea kugonga ngozi ila ni kwa siri sana kuna kupindi nijutia tabia ile nilisikia nafsi kunisuta sana leo natubia dhambi hii hadharani dunia nihurumie
 
Jana jioni nilikuwa nasikiliza redio moja hapa jijini ya Wapo FM...kulikuwa na taarifa mbili tofauti zenye kukaribia kufanana na hii ila katika zile habari ni Baba mtu kutembea na binti hadi mke kuamua kukikmbia nyumba kukwepa aibu...

Pita ndugu yangu.
Yapo haya na ni rahisi sana kutokea.
Tuombe neema za Mungu
 
Hadith hii kakufundisha nani?
 
ongera sana kijana kwa ujinga wako,hila nani alikuwa sweet kati ya mtoto na mama?
 
Mfanyakazi wa serikalini halafu ukapewa nyumba na bosi kazi yako kuu kufungua geti? Samahani kazi yako ni ipi hasa serikalini?
 
Inabidi ukamwombe msamaha boss wako kwanza ndiye uliyemsaliti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom