Natubu nilikula kuku na mayai

Natubu nilikula kuku na mayai

Status
Not open for further replies.
nakupa hongera ya kutafuta ukimwi kwa kupenda...ni wachache wenye moyo huo kwa dunia yetu ya sasa

Umesahau...kipindi kile miaka ya 2000 ukimwii ulikuwa nadra sana kitaa
 
Pole sana

Wanaume ni wadhaifu sana linapokuja swala la mapenzi...kungekua na mjukuu pia angejilengesha ungegonga.

Kama umekiri na usirudie tena
 
Du aisee kaazi kweli kweli....kwahiyo ng'ombe hazeeki maini sio....
 
mmmhhh wanaume bana, kwa nini hukumwambia aliekuwa wa mwisho kuwa tayari nina mahusiano na mama yako au mwanao? nawe pia ulipenda hali hiyo.
 
mmmhhh wanaume bana, kwa nini hukumwambia aliekuwa wa mwisho kuwa tayari nina mahusiano na mama yako au mwanao? nawe pia ulipenda hali hiyo.

Ameshasema mama alikuwa mkali sana, na binti alikuwa na nyodo na dharau za hapa na pale. Kwa hiyo ni vema tu alivyowatafuna wote !
 
Ameshasema mama alikuwa mkali sana, na binti alikuwa na nyodo na dharau za hapa na pale. Kwa hiyo ni vema tu alivyowatafuna wote !

sasa anatubu nini ili khali alitambua toka mwanzo kuwa anachofanya si sahihi?
 
sasa anatubu nini ili khali alitambua toka mwanzo kuwa anachofanya si sahihi?

Unadhani anatubu hapa? Anaturingia tu kwamba yeye ni kijogoo....Ila nahisi hiyo ni fantasy tu, anatamani itokee kitu kama hicho. Maana hata stori yenyewe haina mashiko kabisa !
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha, xaxa nasubulia tu " siku za mwizi 40". nione mziki wake kwani nshakusoma .
 
Uko sahihi. Hii ni hadidhi!

Kwanza uandishi wenyewe hauwezi kuwa wa walinzi wetu tunaowajua uelewa wao!
nimefupisha sana story na baadhi location hata majina kukwepa boss kugundua nilete story ya kubuni insaidie nini ndugu yangu pia elewa sikua mlinzi in such boss alinichukua kama kumsaidia tu sasa wewe unapatapa picha et njelee na koti kubwa ur wrong
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom