masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,762
- 16,599
jicho tamu akinipa siachi
na ndo kinachokupa hiyo guilty
dogo kaingia kakuta unalikunja jicho
ACHA HIYO DHAMBI VINGINEVYO KILA SIKU UTAKUA UNATUBU
jicho tamu akinipa siachi
na ndo kinachokupa hiyo guilty
dogo kaingia kakuta unalikunja jicho
ACHA HIYO DHAMBI VINGINEVYO KILA SIKU UTAKUA UNATUBU
acha umalaya.
acha kula tigo.
I guess number 2 ilimtokea kinyume that's why anafeel guilty
Kosa liko wapi kwani. Au mwanaye anamla?
Hapa mkuu umeongeza dhambi nyingine kama tatu, moja umbea pili kumdharirisha yule mama na tatu kumdharirisha yule kijana, na mwisho wenda ata sala yako ya toba isipokelewe maana umeanza kutubu kwa wanadamu badala ya Mungu...!
Acha uboya wewe,kama huyo mama hajaolewa unaanya nini? Au huyo chalii ake
huyu chali wake ni mkubwa,halafu ndo katukuta katikati ya game
Unapaswa kujutia kutenda dhambi hiyo moyoni si kuileta mitandaoni kutafuta huruma ya watu badala ya huruma ya Mungu!mbona unanitisha mkuu,dhambi tatu kivipi? mi najua dhambi hapo ni moja tu
Sasa kwani kuna tatizo gani na maza ake hajaolewa unajuaje utakuwa mume wake wewe?
Mmmmmh
Kama mnavyojua kakaenu maisha yamenifikisha hapa kenya hivyo sina budi coz natafuta life,sasa kama mnavyojua ukiwa mgeni pahali utajulikana tu, basi nilipofika hapa mwanzo nilipata suport kubwa kutoka kwa wanawake sababu wengi wao wanapenda lafudhi ya kitanzania, hivyo nikajikuta napata misaada mingi kutoka kwa wanawake.
Sasa ikatokea nimeanzisha mahusiano na mama mmoja wa kiarabu kanizidi miaka 13 lakini ukimuona ni kama binti wa miaka 18, huyu mama anaishi na binti yake na house girl na mtoto wake wa kiume hakai hapo hivo alinambia nikakae kwake, basi ikatokea siku mmoja mchana kwa bahati mbaya tulipokuwa tunafanya mapenzi yule mama.
Mtoto wake wa kiume akafungua mlango wa chumba cha mamake bila tahadhari akatukuta tupo katikati ya mechi na mamake yupo juu yangu, tulishtuka sana tukajifunika shuka huku yule mama akimfokea kijana wake kwamba atoke nje, mbaya zaidi yule kijana umri tunafanana, kila nikikumbuka roho inauma sana, sasa hivi nimeachana na yule mama na nimehamia kwangu. Mungu anisamehe na kesho naenda Kanisani.
Mimi naona unajisifia tu kwa maana auwezi kutubu dhambi kwa kujitangaza
Bali unaweza kutubu dhambi kwa kukiri kosa kwa dhati toka ndani ya moyo wako uku ukimuomba na kumuaidi mungu wako kua hautorudia tena kutenda dhambi
Hivyo ndivyo toba inavyotakiwa kua