Natubu dhambi

Natubu dhambi

Unahisi ukifanya nini ndio utapata peace of mind? Kwa Sababu haikua kosa lako, ni Ajali, je huyo mama unahisi Au bado unaendelea nae? Umeridhika na yeye au unafanya Kwa sababu Ya ugumu wa maisha?

alinipata kirahis sababu sikuwa na specific room ya kuish ,halafu ndio nilikuwa naanza biznes ya mtaji mdogo ,hata kula nikawa nalishwa na mademu,mimi ni mkatoliki nafikiri nikimshirikisha mungu akili itatulia
 
najiona mkosaji kwakuwa sikufikiria kumuhoji yule dada (mmama) umri wa watoto wake wote

Kama unajiona mkosaji basi yawezekana u mkosaji. Umeamua vizuri kushusha hilo zigo toka akilini lakini tambua kuwa inawezekana hujamkosea huyo Mama bali umejikosea mwenye kutokana na misingi yako ya kiimani nakadhalika. Tafuta amani na moyo wako then move, achana na mawazo ya hatia.
 
Nahisi guilty iko kwenye details za sex yenyewe..umeambiwa Mombasa
connect the dots

Hahahaaa, Mombasa ni noma. Kama aliburudika ya nini kujihangaisha na hatia? Yaliyopita si ndwele agange yajayo only tu achukue somo kutokana na hiyo experience asije akajikera tena huko mbeleni.....lol
 
Haaaaaaaah haaaaaaah hiyo ni poa sana..! Soo kila ukipita road unaitwa Mtz.! Itabidi niwe nakuja huko nkipata likizo nije kula ngamia koz bata wachafu sana

karibu sana ndugu,uje nikupe binti mombasa
 
we kweli ndo haunazo unakuja kutubu huku ase em nenda mahali husika ukatubu mungu akusamehe kabla ujafa maana si zani kama unajua dhambi ya kuzn na mke wa mtu
 
Kutubu kwa mwanadamu hairuhusiwi, anae samehe dhambi ni Mungu pekee kupitia Mwanae Yesu Kristo
 
Haaaaaaaah haaaaaaah hiyo ni poa sana..! Soo kila ukipita road unaitwa Mtz.! Itabidi niwe nakuja huko nkipata likizo nije kula ngamia koz bata wachafu sana
"Nnnnninazako" kumradhi TyV !! wewe huna shukrani hata fadhila ..... yaani baada ya kushiba unainyea sahani?!! aisaeeeee....
 
Back
Top Bottom