Natoka jasho....

Lipa madeni ya watu mkuu.
 
Asante sana mkuu... inaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa wowote au....
Ikiwa hali hii inatokea mara moja moja na haina dalili nyingine, mara nyingi haina shaka.
Hata hivyo, unapaswa kufanya uchunguzi wa haraka wa matibabu iwapo jasho hilo linaambatana na dalili za homa na uchovu
 
Asante mkuu, till now ni kama mara mbili au tatu since january

Be blessed
noted!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…