Natoka jasho....

Psalm_23

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2026
Posts
935
Reaction score
1,527
Hellow Great Thinker!!!
The LORD is good...

Wakuu hii hari ya kutoka jasho ukiwa comfotable ina maanisha nini?
..... Yani umetulia zako unaona kiubalidi kinatekenya kwenye msuli, una cheki kumbe ni jasho tu, ukiifuta inaachia kutoka!!!

.......The LORD is my shepherd......
 
Hali unayoieleza—yaani umetulia kabisa, mazingira yana ubaridi, lakini ghafla unahisi unyevunyevu unaotekenya kwenye msuli na ukikagua unakuta ni jasho linalotiririka—kitaalamu inajulikana kama diaphoresis au jasho la baridi (cold sweats).

Tofauti na jasho la kawaida linalotoka kwasababu ya joto au mazoezi ili kupoza mwili, jasho la aina hii hutokea hata ukiwa "comfortable" kwasababu linachochewa na mfumo wa neva (sympathetic nervous system) au mabadiliko ya ndani ya mwili, badala ya hali ya hewa
 
Asante sana mkuu... inaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa wowote au....
 
Ongeza dalili nyingine kama mbili au tatu kukufanyie diagnosis.
Ila kutokwa jasho majira ya usiku ni issues sensitive.
Hapana mkuu... mara zote imenitokea mchana tena bila dalili yoyote unahisi tu kama kitu kinatiririka kwenye mkono unakuta ni jasho tu!
 
Bro umesahau picha ya kijasho cha baridi
 
Tarehe zenu izi za heshima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…