natoa password yangu kama zawadi ya iddi

kipindupindu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
1,054
Reaction score
170
nimeamua kutoa password yangu ya jf kwa member waaminifu.sharti ni moja tu:usiwe umepigwa ban kwa muda wa miaka miwili iliyopita.hii ni zawadi katika sikukuu ya idd el hajj.
ni pm ujipatie password.nawatakia sikukuu njema!!
 
hebu lete hapa PIN number yako ya ATM, pia leta na kadi. Bwana wa benki ataziongeza hela zako maradufu
 
Unadhani akaunt yako ina nini cha zaidi. Acha kupigia promo.
 
Back
Top Bottom