BakaryWajesse
New Member
- Sep 25, 2018
- 2
- 0
Hayo mafunzo tunayapataje kiongozi!?
una wowowo HahahahHahahaha
Mbona haueleweki?Hala nimetoa tu taarifa... nothing morr is going to be offered here....
Kwani nilipoquote kuuliza hueleweki hujapaona?? scroll up bro, utaona utafauti wa nilichoqoute na thread yako.wapi hujaelewa???
Basi bhana.Yes hapa nimetoa tu info.... kitu gani ambacho sijaeleweka.... ???
Mbna haifunguki mkuu
jaribu hii mkuu.... Free Forex educationMbna haifunguki mkuu
Basi bhana.
or niPM number yako nikuadd kama na hiyo juu itagoma
Uliishia darasa la ngapi?naona mmekutana, mnapambana kuaada wananchi toka kwenye uzi wa ontario imefika mpaka kuanzisha uziwenu. kazi kwelikweli, tafuteni kazi vijana
Uliishia darasa la ngapi?
Unafaa kuwa mkurugenzi wa kijijiChekechea na GPA ya 32,vipi unatakakunipa kazi ya udalali
Unafaa kuwa mkurugenzi wa kijiji
Udalali wa kuku kanda ya ziwahicho cheo kikubwa sana mkuu,udalali unanitosha sana mkuu