Natoa mafunzo ya forex kwa wanaoanza

Natoa mafunzo ya forex kwa wanaoanza

Mkishaona vyuo vinakaribia kufunguliwa mnaanza na nyuz zenui za ajabu ajabu, ili watoto wa watu muwaibie mabumu yao. Mi kama mzazi nna uchungu sana na ninyi matapeli. Toka dunia ianze hela haijawahi kupatikana kirahisi namna hiyo
 
Boss kuna sehemu nimeandika nahitaji hela ya mtu.... ???? Acheni kumisinterpret mambo...
 
Kwani ukimtongoza demu huwa unamwambia tu twende "nikakugegede" si unaanza longo longo halafu ndio unaelekea katika lengo, haiwezekani wewe ufanye kazi isiyo na faida na inayohusu hela.
 
Yaan ukisoma comments ndio utajua kua hii dunia ina viazi mviringo vingi sana
 
Kwani ukimtongoza demu huwa unamwambia tu twende "nikakugegede" si unaanza longo longo halafu ndio unaelekea katika lengo, haiwezekani wewe ufanye kazi isiyo na faida na inayohusu hela.
Hii ni mentality ya watu maskini...

Nimesoma chuo 4 years, nilikuwa nawarekebishia watu laptop zao na hakuna mtu niliwahi kumuomba hela, na kuna kazi zingine inakuchukua mpaka 6 hours.

Hivi ww unadhani kila mtu yupo after money?
 
Eee hapo sasa umeingia katika 18, kwa hiyo baada ya kumaliza chuo hukwenda kijijini kwenu Kantalamaba ndio ukaamua ukomae mjini ili ufanye utapeli. Shubaamiti
 
Watu wasiojulikana wakiwa kazini kutafuta namba za wakosoaji wa kichaa jiwe
 
Eee hapo sasa umeingia katika 18, kwa hiyo baada ya kumaliza chuo hukwenda kijijini kwenu Kantalamaba ndio ukaamua ukomae mjini ili ufanye utapeli. Shubaamiti
Hehehe.... we jamaa ww.... Kwani unadhani wakati nawasaidia hao watu chuo sikuwa na means nyingine ya kupata hela??? ama unadhani kwa sasa hivi sina means nyingine ya kupata hela?
 
Mi ningekuona wa maana sana kama ungesema unahitaji wafanyakazi hapa jf kwa ajili ya viwanda au uwekezaji ulioufanya baada ya kuwin forex, kumbe we bado unakuja na story za sungura na fisi
 
Endelea kupiga kelele mkuu..... Sina kitu chochote cha kuweza kukujibu sababu haya mambo yako beyond uwezo wako
 
ahaaa ahhaaaa, nadhani wote tunapiga kelele tu hapa, wanaopiga hela wametulia wanapiga hela zao. Duniani hapa hakuna mtu anapenda mwenzake atajirike, kama ingekuwa inalipa san wala si mngetangaza mngejipigia kimya kimya. Ila usikate tamaa utawapata tu wajinga huwa hawaishi duniani. See you have a nice day
 
Back
Top Bottom