Natoa mafunzo ya forex kwa wanaoanza

Natoa mafunzo ya forex kwa wanaoanza

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
1,700
Reaction score
1,761
I have decided to give kile nilichokuwa nacho kuhusiana na forex trading. Sina experience kubwa sana sababu na na mimi ni mmoja ya watu waliojifunza baada ya Ontario kuwa ameweka bandiko lake mwaka jana mwezi wa 5.

The only thing you will need to have is smart phone or a computer with an active connection of internet kwa sababu nitafundisha kwa njia ya Webiner. Then baada ya hapo the lesson will be given for free. No body is going to pay.

Nitakacover kuanzia intro, brokers, S &R, TL, chart patterns na mambo mengine mengi sana. Pia tutaelekezana namna ya kutumia mt4, kuanalyse market, kupata entry, kuset SL na TP kwa usahihi n.k. Pia tutaangalia other side ambayo ni trading psychology kdg.

In case kama ww ni beginner na ungehitaji kujifunza vitu vingi ambavyo vinaweza kuwa na msaada kwako, basi nakukaribisha.

You may join my whatsapp group via Free Forex education

Karibuni wote.
 
Kila nikiweka uzi unafutwa acha nione na huu...
 
Hebu kwanza mtuwekee listi ya mabilionea waliotajirika na hiyo forex, halafu ndio tuje huko katika hayo masomo
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Hebu kwanza mtuwekee listi ya mabilionea waliotajirika na hiyo forex, halafu ndio tuje huko katika hayo masomo
Bando si unalo mkuu... google... majibu yote yapo huko
 
Vibaraka wa Ontario mtapat taabu san a mwaka huu
Hehehe... kuna amejiandika hapa kama kibaraka wa Ontario... we tulia watu wapate elimu... sijaandika kama ninashida na hela ya mtu...
 
Sisi yetu matango na matikiti, tuleteeni mada za kulima matango, mapapai, embe, matobolwa nk. Hivi Mengi, Bakhresa, Dewji wamo humo katika forex. Kama wamo na mimi nijiunge sasa hvi
 
Sisi yetu matango na matikiti, tuleteeni mada za kulima matango, mapapai, embe, matobolwa nk. Hivi Mengi, Bakhresa, Dewji wamo humo katika forex. Kama wamo na mimi nijiunge sasa hvi
Unaweza kuanzisha uzi wako wa matikiti... hakuna aliyekukatalia mkuu .
 
Bando si unalo mkuu... google... majibu yote yapo huko
Sasa kuna haja gani ya kuanzisha uzi, si tuta google tu hayo mambo?.
Tafuteni kazi watu washatapeliwa sana wamechoka. Kama hiyo forex inalipa sana sidhani kama Bakhresa angeuza chapati
 
Sasa kuna haja gani ya kuanzisha uzi, si tuta google tu hayo mambo?.
Tafuteni kazi watu washatapeliwa sana wamechoka. Kama hiyo forex inalipa sana sidhani kama Bakhresa angeuza chapati
Akili yako ndogo sana ww.... haya kauze chapati mkuu....
 
Back
Top Bottom