The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
BADILI TABIA mke mwenzangu ye kajiwaia mapemaaaa, hubby Asprin kampeleka Yummy kufanya shaving kwa Boflo! Erickb52 katahiri mtoto wake blonde aliyezaa na Catherine bila Mentor kujua! zomba anaugulia bila mkewe mtarajiwa Mwali maana dr.ulimboka kesho anaonge na waandishi. Kaizer na gfsonwin wapo kwa Kimbweka na Kiranja Mkuu wanafundwa maana wamekutana wote magogo tu! Excellent na Ronn M wao wamekuwa mfano bora na ndio kisa cha Eiyer kuwa bikra mpaka leo, bila kujua Kaunga anaweza kumkimbia anytime na kwenda kushughulikiwa na wanaume marijali kama wakina Superman na gambachovu, mmhhh Smile naye nadhani bikra ishakwanguliwa mudaaaa ndio maana cku hizi anadipu tu humu, chezeiya jf weye??. kamani kumiss mtu ngoja niwe wazi, nammiss sana sweetlady, lol, alinikaribisha vizuri jamvini chini ya Kongosho asali ya ODM!
ila Roulette kuna mtu anaitwa Invisible namuogopa tu, Paw na Buchanan hawanipi homa sana! sijui ni kwann, ila imetokea tu, haya kuna x wangu aitwa Young_Master ODM kambatiza bingwa wa upekuzi, lol nahofia kusutwa hapa! dadangu Zinduna na Chauro nawakosa sana mara kwa mara jamvini jamani muwe mnakuja ebo!
kesi ya CUTE na Ruhazwe JR acha tu maana hata Mike McKee hawezi itatua! nimekupa umbeya leo sana wacha leo nikajifiche kwenye kasri la Bishanga na The secretary naogopa kuishia mabwepande, lol!
Sijui kama kuna mtu anaweza kuni Control JF hii zaidi ya Mwali, mlipomchaguwa kuwa msimamizi mlifanya vizuri sana na mnaona mbali. Hakuwa biased, mpaka kuna wakati nilihisi ananionea maana maswali yote yalielekezwa kwangu, thinking of it, labda ndio crush yenyewe!.Hata kama sio like, kaa basi na mimi tuone ubunifu wa wana chit chat leo!
Kumbe??? Sasa nimekua na shaka sana kuhusu ule mjadala. Kumbe kulikua na bias.
hivi we kongosho una tatizo gani? huwezi kaa kimya kama mie ukapewa hiyo lyke
Hahahaha, Nimechekaje? Ngoja atakuja na atajisomea mwenyewe ulivo msifia. Umeona thread ya interview ya Maxence Melo? Huna suali la kumuuliza?Sijui kama kuna mtu anaweza kuni Control JF hii zaidi ya Mwali, mlipomchaguwa kuwa msimamizi mlifanya vizuri sana na mnaona mbali. Hakuwa biased, mpaka kuna wakati nilihisi ananionea maana maswali yote yalielekezwa kwangu, thinking of it, labda ndio crush yenyewe!.
Dua zenu ziwe za kheri na Ramadhani hii.
Roulette we wacha tu, ukiona mtu mzima analalama ujuwe yamemfika. Aaah, kupenda uzeeni jamani kuna raha zake kumbe, ni new experience kwangu, sikutegemea kama itatokea kiumbe kikanikaa moyoni, machoni, mawazoni kiasi ilivyo kwa Mwali, "natamani na kujaribu siwezi".Umeona na comments za mkuu zomba kuhusu Mwali?
BADILI TABIA mke mwenzangu ye kajiwaia mapemaaaa, hubby Asprin kampeleka Yummy kufanya shaving kwa Boflo! Erickb52 katahiri mtoto wake blonde aliyezaa na Catherine bila Mentor kujua! zomba anaugulia bila mkewe mtarajiwa Mwali maana dr.ulimboka kesho anaonge na waandishi. Kaizer na gfsonwin wapo kwa Kimbweka na Kiranja Mkuu wanafundwa maana wamekutana wote magogo tu! Excellent na Ronn M wao wamekuwa mfano bora na ndio kisa cha Eiyer kuwa bikra mpaka leo, bila kujua Kaunga anaweza kumkimbia anytime na kwenda kushughulikiwa na wanaume marijali kama wakina Superman na gambachovu, mmhhh Smile naye nadhani bikra ishakwanguliwa mudaaaa ndio maana cku hizi anadipu tu humu, chezeiya jf weye??. kamani kumiss mtu ngoja niwe wazi, nammiss sana sweetlady, lol, alinikaribisha vizuri jamvini chini ya Kongosho asali ya ODM!
ila Roulette kuna mtu anaitwa Invisible namuogopa tu, Paw na Buchanan hawanipi homa sana! sijui ni kwann, ila imetokea tu, haya kuna x wangu aitwa Young_Master ODM kambatiza bingwa wa upekuzi, lol nahofia kusutwa hapa! dadangu Zinduna na Chauro nawakosa sana mara kwa mara jamvini jamani muwe mnakuja ebo!
kesi ya CUTE na Ruhazwe JR acha tu maana hata Mike McKee hawezi itatua! nimekupa umbeya leo sana wacha leo nikajifiche kwenye kasri la Bishanga na The secretary naogopa kuishia mabwepande, lol!
Bila shaka unamtafuta Teamo,,
Hujambo lakini?
.................................Tulizana................................