Haya mie hujawahi kunipa laiki hata moja naiomba basi hiyo....
Haya mie hujawahi kunipa laiki hata moja naiomba basi hiyo....
Na ukinipatia hiyo like nitakusimulia hadithi nzuriiiiiiii ya ABUNUASI sijui kama unamkumbuka....
we nawe mpana!!! gubu la kumkosa charminglady, lol!binafsi hiyo like ya ki-freemanson siitaki,nasubiri ya 5001.like gani masharti yote hayo mwee?
we nawe mpana!!! gubu la kumkosa charminglady, lol!
tumekumisijeeeeeeee na sie?? lol, mwahhhhhh! zamu yako leo ee??
Hii pun haijakaa vizuri...
Kila mtu anaweza kutoa rep power. kufatana na date ulo jiunga, post zako, likes zako na mengine mengi, rep power unayo toa inaweza kua nzito au nyepesi. Mi nikikupa rep power zinaongezeka 5000 kwa mpigo. Atakae pata like yangu atapata na rep power sababu bila shaka post hiyo itastahili!