Natoa huduma ya kufua nguo

Natoa huduma ya kufua nguo

kind hearted

New Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
4
Reaction score
10
Ni mdada. Niko Dar maeneo around Ubungo Terminal.
Nafua kwa mkono.

Eneo nilipo maji yapo mengi ya Dawasco massa 24
Nahitaji nguo nyingi kwa mkupuo. Hata kama jeans 20
Malipo ya chini ni 10,000
Bill ya maji utalipia 1000
Sabuni ni juu yako mwenyewe utanunua unayoitaka utaileta na nguo.

NB; Mimi ni mlemavu wa miguu. Japo si sana kwahiyo kutembea umbali mrefu kumfata mteja ntashindwa. Nahitaji aniletee nami ntafua kisha anazifata.

Usalama upo.

PM kama unahitaji huduma.
 
Nafsi imezizima kwa raha ..thats you babe girl...yaani naamini utafika mbali mno ..yaan nimekupenda bure! Much lov ..
 
Back
Top Bottom