Huduma ya kufua nguo Arusha (wash & fold service; Pickup & delivery)

Mkwamishaji

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
36
Reaction score
39
Tunatoa huduma ya kufua nguo Arusha kwa gharama nafuu. Huduma inajumuisha kufata nguo na kurudisha kwa mteja.
“Nguo ni kama mali nyingine zinahitaji uangalizi”
Karibu tukuhudumie, huduma hii ni kwa mkoa wa Arusha pekee
Contact: 0755 75 05 05
Evareth clothe care
 
Weka na Bei kila kitu kufuata na umbali. Hamna bei specific ama Ni random ama ukiona boss aiyejiliza unampiga Cha juu. Sie hatuendelei maaana Mambo yetu Ni kificho ficho.
Analyze kila kitu ili mtu asipate maswali. Ama unapenda kupigiwa simu. Ama weka mtu wa marketing.
Sorry lakini najua haya maneno hutayapenda. Nilikuwa na uwezo wa ku sugar-coat maneno yangu mpaka ukaniona mwana. Ila nimekuwa muwazi. Ilo huduma yako itanuke utoe Ajira kwa vijana wengi namie pia nikiwemo.
 
Asante mkuu kwa ushauri..ntaweka hapa bei japo ni bei za kawaida.
 
Back
Top Bottom