National ID number ni ipi kwenye kadi ya kitambulisho?

Hannat15

Member
Jul 6, 2016
33
16
Habari wadau,
Naomba kufahamu number sahihi ya national ID kwa sababu sifahamu namba sahihi imeanzia wapi kwenye ile ID.

Zote pande mbili namba zimefanana then zile za mwanzo ni tarehe, mwezi na mwaka. Je unaweka mwanzo mpaka mwisho kwenye kucreate account unapoanza kujaza form ya HESLB kabla ya kufika kwenye hatua ya form?
 
Back
Top Bottom