Nathan kamfunika kipanya?

Hakuna aliyemfunika mwenzake sema kila mtu ana test yake hasa anapochora katuni na ujumbe wanaouwakilisha kwenye hadhira i like what they are doing both of them..

You got it right!

Sio rahisi kufanya ulinganifu yakinifu, maana kila mmoja ni mkali kivyake.
 
Sasa mbona unaniuliza mi ni nani? Ukiona nipo too comfortable for a guest maana yake Paw was there. :lol:

we usipende kubishana na wakubwa hawa wa humu ooh watakufungia shauri zako ..we waonege hivo hivo tu ...wakubwa hao huwawezi
 
Wote ni wakali...hata hivyo Kipanya yuko kibiashara zaidi...so ukiacha umaarufu wake kama cartoonist bado ana mishe mishe kibao huko mjini na hivyo amepata umaarufu mkubwa zaidi nje ya hiyo Fani ya kuchora vibwenzo!
 
Sorry... Hivi vile vipicha vinavyochekesha na kudhihaki kama hicho hapo juu ni 'vibwenzo' au 'vibonzo' ( I stand to be corrected)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom