Nathan kamfunika kipanya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nathan kamfunika kipanya?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Feb 15, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,278
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  jjionee mwenyewe
  kibonzo 13 and 14 feb 2012.jpg
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Duniani hamna haki haki itapatikana mbiguni.
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Awe mbunifu tu...asipende copy n paste
   
 4. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni picha nzuri but sijaelewa kwa nini unamlinganisha na kipanya...
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,278
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  halingani na kipanya offcourse nimeuliza
   
 6. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Naona ni mzuri ila maandishi yamezidi. As an artist alitakiwa kutafuta namna ya kueleza kua yule mgonjwa kafa na haki yake ya kuishi imekanyagwa bila kutumia maneno...
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,278
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  we jamaa kwanza ni nani? umejiunga leo leo lakini unaonekana huna kamba mguuni. vipi id nyingine wameichukua wenyewe?
   
 8. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  We ulitaka nikuombe ruhusa kabla ya kuchangia? :lol:
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,278
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  kwani watu wanaombaga ruhusa kabla ya kuchangia?
   
 10. j

  juma jussa New Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nafikiri imewakilisha vizuri huo "muafaka" baina ya pande mbili zilizokuwa zinapingana. Cha msingi wale waliokufa ambao kwa kweli walinyang'anywa haki yao ya kuishi ndio vipi? serikali haitokaa kuwafikiria anagalu kuwalipi kifuta machozi wandugu?
   
 11. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nathan ni hawavumi lakini wamo, Kipanya ni habari nyingine
   
 12. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona unaniuliza mi ni nani? Ukiona nipo too comfortable for a guest maana yake Paw was there. :lol:
   
 13. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Amecopy nini na wapi?

  Wote mimi nawashabikia sana tu na wote kwangu ni heroes........kila mtu an angle ambayo mwingine hana na kwamngu mie lazima nizipitie kazi zao karibu kila siku napata mawazo na mafunzo tofauti....na zaidi burudani kamili!
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,278
  Likes Received: 19,430
  Trophy Points: 280
  ha ha haya kaka nimekupata
   
 15. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Toa vigezo..........ni kwa faida ya wa Tanzania wote!
   
 16. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu bado mchanga hii cartoon haina ujumbe mzito haiibui maswali mazito, iko nyepesi sana. Kaburi ndo linasema haki yake ya kuishi iko wapi? bado ingeweza kuwa improved hiyo cartoon. Huwezi kumlinganisha na masoud hata kidogo/
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hakuna aliyemfunika mwenzake sema kila mtu ana test yake hasa anapochora katuni na ujumbe wanaouwakilisha kwenye hadhira i like what they are doing both of them..
   
 18. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahaaa!!!
   
 19. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Style tofauti..........wote wangetumia style moja, kungekuwa na possibility ya mmoja kupotezewa na wapenzi wa katuni.
   
 20. Bwaksi

  Bwaksi Senior Member

  #20
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
Loading...