Nateswa na hawa wanawake wa mitandaoni

Nateswa na hawa wanawake wa mitandaoni

njoo nkushauri kwa karibu, kwangu ukituma tigopesa nakuja peke yangu
 
Nina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu inakuwa ngumu kula kuku.

Naombeni ushauri enyi wataalamu.
Nimekuelewa,

Yaani kifupi unahitaji ushauri kutoka kwetu utakaokurahishia wewe kufanya uzinzi na wanawake unaowahonga pesa mitandaoni.

Si ndio hivyo?
 
Nina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu inakuwa ngumu kula kuku.

Naombeni ushauri enyi wataalamu.
We ni lofa. Unaweza kuwa unatumia pesa wanaume wenzio.
 
Unajua kuna kundi moja linasema mtandaoni unachagua unachopenda. Hivyo kwako wewe umechangua pocket yako kuwapa madada hamna swala la kuomba ushauri. Komaa hivyohivyo uliingia mwenyewe
 
Nina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu inakuwa ngumu kula kuku.

Naombeni ushauri enyi wataalamu.

Akili kichwani mwako mkuu...
 
Nina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu inakuwa ngumu kula kuku.

Naombeni ushauri enyi wataalamu.
Hawaja kuibia unawapa kwa raha zako na tamaa yako ya fisi,wape tuu as long as unazo why not...
 
Kwanini napata hisia kuwa ulichokiandika hapo ni indirect way ya kujitangaza unajua kuhonga

Labda mimi ndio sijaelewa vizuri mkuu ila tayari nimeshakuPM nahitaji huduma ya kuhongwa
hahahahahahhahahahah jannah message yako imefika ni pm tigo number yako nikutumiy
 
hadi umeamua kuomba msaada huku ina maana kuna kitu umejifunza na akili yako imefunguka hongera sana,
sasa nadhani hawata kutapeli tena😀😀😀😀😀
@ Elly wewe umenielewa broo ,
 
Back
Top Bottom