Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
Shemalenifunze kutongoza mkuuu kwanza wew demu ao m?
Shemalenifunze kutongoza mkuuu kwanza wew demu ao m?
hahahahhahaBadilika...
mweeeeeeeee kwahio una boobs na mguu wa tatu??Shemale
Na wa nne piamweeeeeeeee kwahio una boobs na mguu wa tatu??
Mmmh ndo kwamba hizo pesa unazo za mchezo sana eeehNina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu inakuwa ngumu kula kuku.
Naombeni ushauri enyi wataalamu.
Kumbe una bahati sasa povu la nini? Endelea kubahatika mkuuNina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu inakuwa ngumu kula kuku.
Naombeni ushauri enyi wataalamu.
Kua bahili kwa muda...nifanyeje sasa dada angu?
hapana mi ntakuja peke yangu😉duh nawew sikama wale wale tuuu
Mhhhh nimeshakomakoma
Kwanini napata hisia kuwa ulichokiandika hapo ni indirect way ya kujitangaza unajua kuhonga
Labda mimi ndio sijaelewa vizuri mkuu ila tayari nimeshakuPM nahitaji huduma ya kuhongwa
HahahahSasa wewe umeijua siri badala ya kudeal nayo kimya kimya umeifichua, unajiongezea competition mkuu.
Hahahah
Kizuri share na wenzako mkuu
Mleta thread ana pesa za kutosha hata tukienda 100 uko PM
Kumbe unahongaDah!! Nilishaga tumiwa sana hela kwenye m-pesa, tiGo-pesa na Airtel-Money
Yaani wanaume tuna madhaifu kweli
Mtu unamudanganya kwa uongo wa wa nje nje kabisa ila hata hasitukii.
Kumbe unahonga
Afu mi unanambiaga siku ukipata hela.... Au ndo wamekuchuna zimeisha
Kumbe anatumiwa ila hajasema anatumiwa na naniHivi umemwelewa vizuri kweli?
Kasema alikuwa anatumiwa yeye na wanaume.
Ukishaelewa nifafanulie zaidi, nimeogopa kumuuliza kitu.
Kumbe anatumiwa ila hajasema anatumiwa na nani