Nateswa na hawa wanawake wa mitandaoni

Nateswa na hawa wanawake wa mitandaoni

Nina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu inakuwa ngumu kula kuku.

Naombeni ushauri enyi wataalamu.
Rudi zamani kidogo, malipo yote yafanyike dirishani.
 
Nina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu inakuwa ngumu kula kuku.

Naombeni ushauri enyi wataalamu.

Wewe mwenyeo ndo unaowapa hx wao unadhani watafanyaje zaidi ya kukula hela na kusepa pole sana brooo
 
Wanawake wa mitandaoni, asilimia kubwa huwa hawana nauli, hawana hela ya mafuta ya gari, wanaishi mkoa wa mbali na ulipo unapowahitaji, hawana hela ya kusuka, wana matatizo yaliyowapata ghafla tu baada ya kupanga appointment na picha unazotumiwa huwa tofauti na utakaekutana nae endapo mtafanikiwa kukutana.
Ni mambo ya kawaida, kikubwa umejifunza, sasa amka kutoka usingizini. Hiyo siyo bahati, ni swala kawaida, kila unaemtongoza hukubali, issue ni kukutana na wengi mnalizwa kwa style kama yako kwa natarajio kuwa mtatafuna watoto wakare sana kiafsa.
 
Kuna mmoja kipindi sijatulia, nilimtokea baada ya kuvutiwa na comments zake n.k Sitasema ni mtandao gani.
Basi mtoto akajaa kwenye lens. Tukapanga appointment akaja. Siku hiyo tulitumbua kwelikweli na nadhani hata yeye aliyakubali yale matumbuzi maana baada ya mambo mengine, zikaanza invoice za hatari. Ila iliyokuwa kiboko ni moja ambapo alitaka nimpatie M.3.5. Sio kumkopesha, nimpatie tu. Nikaona huyu ananichukuliaje, nikakaa kimya.
Kwa hiyo, unapoingia katika mpango wa kusaka penzi mtandaoni, hasa kwenye mitandao ya mahusiano, tarajia kuombwa pesa, ila swala la kugawagawa pesa ndio uzembe au maamuzi yako maana wengi wamefanya hilo swala kama kitegauchumi cha kudownload mkwanja. Usilaumu sana.
 
Nina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu inakuwa ngumu kula kuku.

Naombeni ushauri enyi wataalamu.
Pole
 
Back
Top Bottom