Nateswa na hawa wanawake wa mitandaoni

Nateswa na hawa wanawake wa mitandaoni

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,808
Nina bahati sana ya kuwapata warembo wa mitandaoni lakini tatizo wananila sana pesa ninazowatumia via tigo pesa. Wakizipata tu mawasiliano yanakatwa na anayekuja huwa anakuja na mwenzie halafu inakuwa ngumu kula kuku.

Naombeni ushauri enyi wataalamu.
 
Ndo ujifunze sasa! Tena wanawake wa mitandaoni wanawatafuta kweli wanaume kama wewe. Utamtumiaje pesa mwanamke humfahamu?
Tafuta wanawake ulonao huko kwenye real life! Usiniambie wote taken!
 
Mkuu wewe honga tu utakufa maskini,tena warembo wenyewe kwenye mitandao its so bad.
 
Kwa mwandiko huo lazima uliwe tu.
 
Dah!! Nilishaga tumiwa sana hela kwenye m-pesa, tiGo-pesa na Airtel-Money

Yaani wanaume tuna madhaifu kweli

Mtu unamudanganya kwa uongo wa wa nje nje kabisa ila hata hasitukii.
 
Back
Top Bottom