massimu jr
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 542
- 595
endelea kupiga puli utakufa viungo vitaoza so vitumie vizuri
hahahahahaah kama unakumatia mto lazima utarudia tuLeo siku ya 3 sijapiga pull nimeanza kutafakari nafsi yangu kutoka ndani ya moyo, asante kwa ushauri wenu wadau ijapokuwa uume unasimama mpaka misuri ina uma najikuta kukumbatia mto mapajani
kawaida sana mimi nlikua napiga 3 siku nyingine 4 bila kupumzika...ila kwa sahivi sijajua maana sija test mitambo mudahivi kuna mtu anaweza kupiga 3 au 4 kwa siku
Asantetabia hubadilika ndani ya siku 30 😀😀😀 jitahidi kutumia hiyo formula
Hamna raha yeyote kule maana unapiga kimoja tu tena kwa masharti na kondom juu....Nenda kwa wahaya mjomba buku tatu tu kiu yako inaisha na unasahau yote onyo ukiwaendekeza sana utakuwa utaki kuowa
Mchezo mbaya sana huo, pia ni dhambi kupiga pull ina hathali kubwa sana hiyo kitu, Hasa ktk mfumo mzima wa afya pole sana mkuu
Mkuu mimi nilikuwa mpigaji nyeto mkubwa lakini niliweza kuacha vizuri kabisa nilitumia njia hiihapa, kwanza lazma ukiri kutoka ndani ya moyo wako kuwa unahitaji kuacha huo mchezo, pili usipende kukaa pekeyako, tatu tafuta msichana uwenae kama vp owa kabisa ikiwezekana, nne mazoezi nimuhim sana hakikisha kilasiku asubuhi unafanya mazoezi.
Upo chaputa,toka mwaka ganiLakini puuu ni tamu kuliko K. hata mimi napata tabu kuiacha. Nimekuwa addicted na hiyo behaviour. Kiasi kuwa wanawake wote nawaona kama taka taka za jalalani. Sijawahi kumfuata mwanamke na wala hawanishughulishi. Halafu faida nyengine ni kuwa hupotezi pesa kwa kuwahonga wanawake na hivyo vile vibomu vya kuchunwa unaviepuka. Nimeweza kufikia malengo yangu ya maisha bila ya kuwa na urafiki na wadada. Wanaume wengi wanafeli kimaisha kwa kuliwa hela zao bure bure na walembusha macho ya ulaghai.
Punyeto ni mkombozi wa kweli.
Daah boss jana ndo nlimrudisha kwao, nlimuiba kwa siku tatu nikasafirisha kupeleka mkoa mwingine kwenda kupiga.so wakati tunarudi kwenye buss akawa ananifanyia vimchezo hadi raha, mara aniangalie kwa ham, mara anilalie, mara anikumbatie yaan ilimradi raha, mainroad hizi huduma not reachable mkipanda kwenye bus kila mtu na ustarabu wakeYule house girl ulifanikiwa kwenda kwao??? Hivi alikuwa analipa?
Uzuri wangu situmii condom, na huwa s na mmpenzi mmoja tu kwa wakati tukiachana natafuta mwengine. Na huyu mmoja huwa anakuwa chini ya miliki yangu, yaan namhudumia kama mke wangu kwa kila kitu anzia kula, kulala, kuvaa, matibabu yaan kila kitu. Ila nisimwone akichepuka huwa nakinukisha mbaya. Na huwa nadumu nao kati ya miaka 2hadi minne. Anakuwa ameshaanza kunizoea na baada ya hapo huwa wanaanza kuchepuka kutafuta radha tofauti. Nikiwa naye huwa sioni shida kumpandisha fastjet ya return ticket laki na ishirini kuja kunipa huduma ya siku 3 endapo tu kama yupo mbaliMi ugonjwa wangu kuchepuka sijui nitaacha lini
HahhahahahahahahaMie nilishindwa kabisa kuacha ila kwenye utawala huu nilijikuta naacha mwenyewe maana hisia zilikata, ukiweka picha ya demu flani kichwani ili uanze kupiga puchu ghafla hiyo picha inabadirika na kuwa kama ya Mzee naniliu.