Nateseka na punyeto sijui nitaiacha vipi

Nateseka na punyeto sijui nitaiacha vipi

Leo siku ya 3 sijapiga pull nimeanza kutafakari nafsi yangu kutoka ndani ya moyo, asante kwa ushauri wenu wadau ijapokuwa uume unasimama mpaka misuri ina uma najikuta kukumbatia mto mapajani
hahahahahaah kama unakumatia mto lazima utarudia tu
 
Me naweza kudhamiria kuacha punyeto nikakaa hata wiki nikawa Tu nafuatilia madem sasa Dem tukiahidiana Na asije hapo hasira zote nazihamishia kwa mpenzi puli
 
Zamani nilikuwa najua nyeto ni kwa wasio na wapenzi, kumbe kuna wenye wapenzi na pulli wanapiga???
 
Mim nimepiga pull toka mwaka 1995 hadi leo mara moja moja nikiwa na stress zangu najiburudisha mwenyewe.Nyeto ni msaada sana kwa baadhi yetu pale unapohitaji kujihudumia na wakati huo huitaji kelele na mtu au kelele za mwanamke.Kama umeamua kuacha Unachotakiwa kufanya ni kuichukulia kawaida kama sehemu ya maisha alafu unajipangia ratiba yakupiga.Unaweza kuweka ratba yakupiga mara 2 kwa wiki na ujitahidi kuifwata bila kuzidisha,unaenda kidogo kidogo ukipunguza had ifike upige mara 1 kwa weekend baada ya muda utajikuta umeacha.Hii njia ni rahis kama umeshakua addicted na iyo kitu.Nyeto ni tamu sana na ulevi wake ni hatari kwaiyo kama umeamua kuacha usishindane na hamu yake bali ikubali alafu ipuuzie.
 
Unatakiwa upate counseling kwanza, halafu jihusishe na mambo ya ibada kwa sana na kusikiliza mafundisho ya Mungu
 
hivi kuna mtu anaweza kupiga 3 au 4 kwa siku
kawaida sana mimi nlikua napiga 3 siku nyingine 4 bila kupumzika...ila kwa sahivi sijajua maana sija test mitambo muda
 
Nenda kwa wahaya mjomba buku tatu tu kiu yako inaisha na unasahau yote onyo ukiwaendekeza sana utakuwa utaki kuowa
Hamna raha yeyote kule maana unapiga kimoja tu tena kwa masharti na kondom juu....

Hapo dawa atafute mbebezi wa kumpa mambo
 
Mchezo mbaya sana huo, pia ni dhambi kupiga pull ina hathali kubwa sana hiyo kitu, Hasa ktk mfumo mzima wa afya pole sana mkuu

Lakini puuu ni tamu kuliko K. hata mimi napata tabu kuiacha. Nimekuwa addicted na hiyo behaviour. Kiasi kuwa wanawake wote nawaona kama taka taka za jalalani. Sijawahi kumfuata mwanamke na wala hawanishughulishi. Halafu faida nyengine ni kuwa hupotezi pesa kwa kuwahonga wanawake na hivyo vile vibomu vya kuchunwa unaviepuka. Nimeweza kufikia malengo yangu ya maisha bila ya kuwa na urafiki na wadada. Wanaume wengi wanafeli kimaisha kwa kuliwa hela zao bure bure na walembusha macho ya ulaghai.

Punyeto ni mkombozi wa kweli.
 
Mkuu mimi nilikuwa mpigaji nyeto mkubwa lakini niliweza kuacha vizuri kabisa nilitumia njia hiihapa, kwanza lazma ukiri kutoka ndani ya moyo wako kuwa unahitaji kuacha huo mchezo, pili usipende kukaa pekeyako, tatu tafuta msichana uwenae kama vp owa kabisa ikiwezekana, nne mazoezi nimuhim sana hakikisha kilasiku asubuhi unafanya mazoezi.

Yote mimi nimejaribu na nimeshindwa.
 
Lakini puuu ni tamu kuliko K. hata mimi napata tabu kuiacha. Nimekuwa addicted na hiyo behaviour. Kiasi kuwa wanawake wote nawaona kama taka taka za jalalani. Sijawahi kumfuata mwanamke na wala hawanishughulishi. Halafu faida nyengine ni kuwa hupotezi pesa kwa kuwahonga wanawake na hivyo vile vibomu vya kuchunwa unaviepuka. Nimeweza kufikia malengo yangu ya maisha bila ya kuwa na urafiki na wadada. Wanaume wengi wanafeli kimaisha kwa kuliwa hela zao bure bure na walembusha macho ya ulaghai.

Punyeto ni mkombozi wa kweli.
Upo chaputa,toka mwaka gani
 
Yule house girl ulifanikiwa kwenda kwao??? Hivi alikuwa analipa?
Daah boss jana ndo nlimrudisha kwao, nlimuiba kwa siku tatu nikasafirisha kupeleka mkoa mwingine kwenda kupiga.so wakati tunarudi kwenye buss akawa ananifanyia vimchezo hadi raha, mara aniangalie kwa ham, mara anilalie, mara anikumbatie yaan ilimradi raha, mainroad hizi huduma not reachable mkipanda kwenye bus kila mtu na ustarabu wake
 
Mi ugonjwa wangu kuchepuka sijui nitaacha lini
Uzuri wangu situmii condom, na huwa s na mmpenzi mmoja tu kwa wakati tukiachana natafuta mwengine. Na huyu mmoja huwa anakuwa chini ya miliki yangu, yaan namhudumia kama mke wangu kwa kila kitu anzia kula, kulala, kuvaa, matibabu yaan kila kitu. Ila nisimwone akichepuka huwa nakinukisha mbaya. Na huwa nadumu nao kati ya miaka 2hadi minne. Anakuwa ameshaanza kunizoea na baada ya hapo huwa wanaanza kuchepuka kutafuta radha tofauti. Nikiwa naye huwa sioni shida kumpandisha fastjet ya return ticket laki na ishirini kuja kunipa huduma ya siku 3 endapo tu kama yupo mbali
 
dawa ya kuacha ni kuoa na kuacha kuangalia porno kama umeoa na bado unaangalia porno video huwezi kuacha
 
Mie nilishindwa kabisa kuacha ila kwenye utawala huu nilijikuta naacha mwenyewe maana hisia zilikata, ukiweka picha ya demu flani kichwani ili uanze kupiga puchu ghafla hiyo picha inabadirika na kuwa kama ya Mzee naniliu.
Hahhahahahahahaha
 
Back
Top Bottom