Nateseka na punyeto sijui nitaiacha vipi

Nateseka na punyeto sijui nitaiacha vipi

Puli ni ugonjwa sugu mnoo...na karne hii ndio umeshamili kwa wingi..ndio maana matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume ni mengi mnoo..kila kukicha yanaongezeka mara dufu...ukitaka kuacha usiangalie pono wala picha yoyote ya mwanamke alio valia nusu uchi...
Successful candidate is not everyone. . To be successful 1st u have to be extraordinary person. .
Unawezaje kuacha puli wakat umeunganishwa jukwaa la wakubwa
 
Mkuu mimi nilikuwa mpigaji nyeto mkubwa lakini niliweza kuacha vizuri kabisa nilitumia njia hiihapa, kwanza lazma ukiri kutoka ndani ya moyo wako kuwa unahitaji kuacha huo mchezo, pili usipende kukaa pekeyako, tatu tafuta msichana uwenae kama vp owa kabisa ikiwezekana, nne mazoezi nimuhim sana hakikisha kilasiku asubuhi unafanya mazoezi.
 
Dah!! Akakamchezo kanatesa watu.. Alafu ukishapiga hata mwanamke ambaye ulikuwa ufuatilia unaona kama ushalala nae huna hamu nae tena,alafu inaladha Ya kipekee sema ukishamaliza unapata maumivu sana ndio tatizo lake ... Mungu tusaidie
 
Naomba nikupe USHAURI usio na mzaha, kwanza wewe bado kijana mchezo huu utakufanya ukose familia kwa kuwa sio njia ya kawaida y'à mpenzi, pili ni dhambi kwa muumba wetu. Sasa hilo ni pepo baya sana hiyo sio amri yako mtafute mchungaji au kiongozi yoyote wa kiroho akufanyie maombi na wala sio siku moja Fanta hivyo na usali kwa mwezi mzima MUNGU atakuponya. Madhara:- kama umeoa au Hujaoa utaanza kutafuta dawa za kiboko y'a Paulina mapema sana.
Mmh! Hujamshauri chochote cha maana.
 
aiseee huo mchezo wa kijinga sana ila kijana umezidi nakumbuka zamani hizo nilikuwa nikipiga moja ndo nitoke mpaka mwezi ukate au miezi nikaja kuleta mazoea ya kupiga week ila ilikuwa haizidi mara mbili na hapo ni kutkana na mabadiliko ya mfumo wa chakula. mbona mi nakaa mwenyewe mda mrefu sana na na niki saff internet nakutana na nude nyingi sana ila hata wazo haliko wewe naona unajiendekeza tu kijana wangu. POLE UTAKUJA KUPATA TATIZO LA BEST YANGU YAKE HAI SIMAMI ILA ANA MWAGA NA IKISIMAMA NI DAKIKA MBILI
Mwache mwenzio ale bata.
 
Mie nilishindwa kabisa kuacha ila kwenye utawala huu nilijikuta naacha mwenyewe maana hisia zilikata, ukiweka picha ya demu flani kichwani ili uanze kupiga puchu ghafla hiyo picha inabadirika na kuwa kama ya Mzee naniliu.
aiseee
 
Chaputa kuongeza wanachama
kila kukicha
Chaputa nayo ni ujenzi huru hivo epuka kabla jehanam haijakuita.Jehanam ni pale tu free off charge.Utakua ni mfuu chini japo unatembea .Pia kufanya kabla hujajua madhara sio dhambi ,dhambi ni pale unapo ambiwa ina madhara pull na hautaki kuacha.ipo siku utaamini kwa nini ni .
 
Mpaka siku utakaposhindwa kuperform vizuri kwa demu wangu hapo ndo utajua nyeto mbaya sanaa...!! Jitahdi sana kufanya mazoezi aisee
 
Leo siku ya 3 sijapiga pull nimeanza kutafakari nafsi yangu kutoka ndani ya moyo, asante kwa ushauri wenu wadau ijapokuwa uume unasimama mpaka misuri ina uma najikuta kukumbatia mto mapajani
 
Uzi za puli zimepungua sana siku hizi...
 
Back
Top Bottom