Kwani simaye na lowassa walitumika kwenye serikali gani vile? Kikwete ashasema hao ndio walikuwa wachawi (Maana yake ndio walioharibu nchi na Chama). Tushawaondoa subirini tz mpya.
na laana itawashukia kweli. kuitetea ccm ni sawa na kumkuta mtu anampiga mama mjamzito, wanae na bibi yao kisha ukaanza kushangilia.Kama kuna mtu ataendelea kutetea huu udhalimu...eti ccm iendelee kututawala kwa kweli acha tu laana imshukie
Kwani simaye na lowassa walitumika kwenye serikali gani vile? Kikwete ashasema hao ndio walikuwa wachawi (Maana yake ndio walioharibu nchi na Chama). Tushawaondoa subirini tz mpya.