natengeneza mabango ya kampeni ya UKAWA.


mkuu shangaa bomba la gesi limejengwa kutoka mtwara zaidi ya km 700

lakini maji kutoka ruvu ni zaidi ya km 80 wameshindwa kuwa vutia bomba kwa zaidi ya miaka 50 !

Bomba la gesi limevutwa kwa sababu ya maslai ya wakubwa, lakini mateso wanayo yapata watanzania kwa kukosa maji safi na salama kwao halina umuhimu?

Sasa kwa nini wasiwaite wapumbavu na malofa Ikiwa bado mnawashabikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…