Natembea na mume wa mtu


Umeona eeh Kongosho....haya yote yanatokea kwenye jamii ambayo sote yunaishi. Kwa nini tunajitia upofu?
 
Last edited by a moderator:

Afadhali hata ya Mimba ndugu yangu itakuwa mambo ya kulea mtoto tu,,,huo Ukimwi Je?..Maana jamaa ana cheat na bibie...lakini zaidi ya bibie jamaa anacheza kiwanja gani zaidi nani ajuaje...Na uaminifu wa mke wa jamaa nao anaujua? Mwisho wa siku ndio kuzungukana tu na mwanzo wa kukwaa virusi.
 
Boyfreind wako wa kwanza mliambiana amtafanya sex mpaka ndoa. Boyfreind wako wa pili akakutoa usichana kabla ya ndoa.
Kweli mapenzi ni zaidi ya tuyajuavyo.
 

kanisa halirusu na wakristo hawaoi mke zaidi ya mmoja
nadhani ni kitu kimoja Lukolo,she w'll remain kimada 4rever!
hana haki kwa huyo jamaa,so mshauri atafute wake tu
na siku mwenye mume akijua ajijue atakua matatizoni!
cha mtu mavi bwna!

 
Last edited by a moderator:

Aisee.......
 
Daah! Nilikuwaga sijawahi kuisikia hii, hebu nipe fungu la bible linalosema haya uliyoyaandika

Anyway, back to topic, kwasababu sasa hivi huna bf wala mchumba endelea nae tu mume wa mtu ili mradi tu usimvunjie heshima mkewe, ni kweli ulikuwa wa kwanza bt mwenzio ndo kala kiapo na huyo mwanaume. Pili, akili mkichwa usijiachie sana kwa mume wa mtu ukajisahau ukajikuta unashindwa kuanzisha familia yako manake umri unaenda huo unless mtakuwa na makubaliano na huyo kaka kwamba utakuwa nyumba ndogo yake


 
ephesians 5:31- for this reason a MAN will leave his father and mother and be united to his wife and the two will become one
1 corithians 7:2 but since sexual immorality is occuring each man should have sexual relations with his own wife and each woman with her own
 
Hehe, huyohuyo Paulo katika 1Timotheo anamwambia Timotheo mtu akitaka kazi ya Askofu ataka kazi njema, lakini condition mojawapo ni kwamba awe ni mme wa mke mmoja. Kwa hiyo Paulo alijua kwamba wasio maaskofu wanaweza kuwa na mke zaidi ya mmoj. Hizi theory za kanisa sometimes hovyo kabisa. Watu wanazuiwa wasioe mke zaidi ya mmoja ilihali wanawake ni wengi zaidi kuliko wanaume. Hao wanawake wanaozidi wataolewa na nani, au wao hawapendi ngono au kuwa na familia? Matokeo ya huu utaratibu wa kuwazuia watu kuoa, ndiyo tunashuhudia nyumba ndogo kama utitiri huko mitaani. Kanisa lirekebishe sheria zake, na liache kumrefer sana Paulo. Lianzie kwenye agano la kale, ambako hata baba wa imani, Ibrahimu alizaa na mjakazi wake, so alikuwa na mke wa nyongeza, na bado akahesabiwa haki. Akina Daudi ambao ni reference mhimu ya utumishi wa Mungu, akina Seleman nk, wote hawa walikuwa ndiyo mabingwa wa kuwa na wake wa kumwaga, na hakuna mahali popote ambapo biblia inasema walihukumiwa kwa kosa hilo.

Watu watadhani natetea kwa kuwa nataka kuoa mke wa pili, no! nasimamia ukweli na uhalisia wa mambo. Tukilegeza sheria na mashariti magumu ya kanisa, tutapunguza nyumba ndogo na kupunguza UKIMWI. Hivi kuna mtu aliwahi kujiuliza ni kwanini katika jamii za kiarabu ukimwi ni kidogo? Hawa wakiwakwa na tamaa wanachukua kabisa wanaweka ndani. Sasa wakristo ukitamaani kiruka njia mtaani, unakula, unampangishia nyumba, unamnunulia gari, wakati huo yeye anajua hana future na wewe kwa kuwa umeshaoa, na yeye anakuwa na kiboyfriend chake huko. Na hicho nacho kinatembea na jimama ambalo halitoshelezwi na mmewe. Mwisho wa siku tuna msululu mrefu wa watu ambao wapo kwenye foleni ya kusubiri Ukimwi. Turudi kwnye mfumo wa maisha ya wazee wetu ambao walikuwa wanaoa as many wives as they could.
 
Pole dada angu ila omba mungu sna atakusaidia na utapata jb lako.
 
hahaa umeniacha hoi
 
hapa MMU ni kama kuna malaika watupu. ushauri utakaopewa hapa ni wa kukukatisha tamaa, as if wao hawafanyi haya. Lakini nina imani wanayafanya tena zaidi yako. ushauri wangu, fanya kitu roho yako inapenda. kama mwanaume mwenyewe kaja mwenyewe hukumuita, anafunga safari kukufuata, na unaridhika na penzi lake, ya nini ujili limit, na maisha yenyewe ya kupita haya. kwani yeye hajui kama ana mke anapokuja kwako?
hakuna mwanaume wa kuoa siku hizi zaidi ya matapeli wa mapenzi. katika wanaume 100 wawili tu ndio waoaji. hao wanaokuambia utafute wako wanajifurahisha tu hata wao wako busy na vya watu.
 
Jamani huyu dada msimjudge. We mdada mie nakuelewa situation unayopitia ni ngumu sana. Nachokushauri mwombe Mungu akupatie wa kwako pia waone washauri wa maswala ya mahusiano. Tatizo kwa bongo sifahamu wanapatikana wapi lkn kugoogle on relationships utapata mengi ya jinsi ya kujinasua na hiyo hali. Najua inakuuma na unafeel guilty na ndo maana umekuja kuomba ushauri, thats a gud start. Cha kutambua ni kuwa haitakuwa rahisi lkn think about ur future na jua kwamba hiyo ni raha ya muda mfupi. Unachohitaji ni raha ya kudumu ambayo ni kuwa na mume wako. MUNGU akusaidie.
 
huyo Jamaa endelea nae,ila mwambie ukipata mume wa kukuoa muda wowote unaolewa nae.!!
 
Mie hapa naogopa ngoma ..unaweza kuta wife wa jamaa nae ana wake walikubaliana kuoana mambo yakatokea bahati mbaya kama hii...kwa hiyo Husband akitoka wife nae anapata ka upenyo anasepa :biggrin:

Tuko wangapi?
 
Mume wa mtu ni sumu na laana kubwa, you have no idea uchungu wa kuchukuliwa mume. achana nae unajiwekea laana mwanamke mwenzio akilalamika kwa sababu yako. Kama anakupenda sana amuache mkewe kabisa ndio muanze tena uhusiano akuoe.
 
"Watch your back" and
"Play smart".
Kwa wote wanaotembea na waume za watu, na wale wanaokula wake za watu.
 
Kwa mtizamo wangu, kwa historia mliyonayo, sidhani kama mtaachana.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…