Natembea na mke wa mjeshi

Kwanza is Amir ya Sita Bali ni Amir ya sabaH! ila wacha uzimzi an wake za Watusi. oa wa iwaki halfu jamaa wamgegedue Kama utakuja kuuliza Ushuaia hapa!!!
 
Wala usiogope endeleeni tu,mjeshi siku akijua mtakua marafiki na anaweza akakuunganisha na wewe uwe mjesh kama unataka.
 
Kwanza is Amir ya Sita Bali ni Amir ya sabaH! ila wacha uzimzi an wake za Watusi. oa wa iwaki halfu jamaa wamgegedue Kama utakuja kuuliza Ushuaia hapa!!!

Hata mimi namshangaa! hiyo amri ya sita imeandikwa ktk kitabu gani.
 

We muache tu anachezea mke ya mura,
 

Huyo afande alikuwa kabila gani?
 
we haya tu, ila si unajua uchungu wa mtu kuliwa vyake. yaani sipati picha huyo mjeda akija kugundua hiyo ishu, sijui atakuhukumu kwa kipimo kipi mkuu
 
Is like ur playing music to davel himself jiandae wewe mwenyewe kutembea na mjeshi sasa.
 
Mke wa mwanajeshi?

Ngoja muda ufike, utakuwa sample tu! Tuakuzika kwa msaada wa halmashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…