Natembea na mke wa mjeshi

bado unajiuliza?

hawa watu hawashauriki.. ngoja yakukute ya ufoo saro! no discussion!

yani nitoke zangu kongo huko halafu nikute fa.la mmoja anabanjuka na waif?

qudadeki nakaa na wewe mwezi mzima, kiungo kimoja baada ya kingine.. you will tell!
 
Kuwa Huru tu na uji express yourself kama mali yako nyumbani ila soon uta cry self
 

Bora aliyekufa kwa msongo wa mawazo kuliko..... 0713, Kuna jamaa mmoja hapa ninavyoongea kawekewa mtego, yupo lodge na mke wa mtu na mkewe kalala nyumbani anamsubiri mume!! Yaani Leo hata sijui itakuaje na wafumaniaji wamepanga kitu kimoja tu ni kumgeuza na yeye tena na kumpiga picha, na Ni mtu anajiweza kifedha!! Aibu hii sijui ataiweka wapi???

Nawe mleta Uzi acha zinaa tena na wake za watu, kumbuka 40 yako itafika siku moja. Unaona sifa Kula cha mwenzio? Hayaaaaaaa......
.!!!
 
Mi ushauri wangu angalia video ya maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika au mapinduzi ya znz uone wale waliokuwa wanapasua matofali kwa vichwa , baada ya hapo utafanya maamuzi sahihi
 
RIP.....mke wa mjeda alikupenda ila mauti yamekupenda zaidi
 
Siku akikamatwa ataambiwa ajinyonye tigo yake mwenyewe na kujitigo pia mwenyewe, chezea mjeda weyee
Sijui utaweza!!!Anza mazoezi mapema ili usihangaike siku ikifika
 
ushauli wangu achana nae maana mke wamtu ni sumu hebu fumba macho vuta hisia kama ni wewe mali zako zina liwa acha bana ucje ukagongwa kiboga .
 
Naona kabisa dalili za tangazo la TANZIA linakuja muelekeo wa JF! daaaaah
 
Kaka kwani ukumbuki hile ya 2012 mkoan kagera mwanajeshi alimfumania mke wake siku iyo alikuwa lindo alichokifanya alichukua hile silaa ya lindo akampiga mke wake risasi pamoja na jamaa kisha akaifuta familia ya jamaa bahati mbaya akamkuta mtoto mke wake hakuepo.kapiga mtoto risasi pamoja na bibi yake kisha kajimalizia mwenyewe




Pole Kijana endelea kula laha
 

Utaweka video kabisa sio picha siku utakayokuwa umefumaniwa.
 
Wajeshi wa siku hizi goigoi halafu hoe hae tu...!

Epuka kuja kumtesa mtoto...acha dhambi ya uzinzi,tubu na uache dhambi.
 


Wewe kama ndiye MAYUKU si nilikukatazaaa bado waendeleeee tu??? Mke wa mtu ni sumu pia...dhambii zote hufanyika nje ya mwili lakini hiyo za zinaaaa ni juu ya mwiliii.....utajash'tukia AK47 ikasafishiwa kwako! very bad for you! Pia what goes around comes around...bado upo tuu?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…