Nate Dogg dies at 41 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nate Dogg dies at 41

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Edward Teller, Mar 16, 2011.

 1. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nate.jpg

  [FONT=&quot]According to reports, the hip-hop musician's family confirmed that he passed away last night following several years of ill health. No further details have yet been released.

  Born Nathaniel Dwayne Hale in August 1969, the Grammy-nominated singer shot to fame when he collaborated with Warren G on the smash hit 'Regulate' in 1994.

  Since then he has worked with musicians including Snoop Dogg, Eminem, Dr Dre and Mark Ronson.

  Snoop Dogg was first to pay his respect for the star, tweeting: "I miss u cuzz I am so sad but so happy I got to grow up wit u and I will c u again n heaven cuz u know d slogan... all doggs go to heaven yo homie n baby brotha bigg snoopdogg!!" (sic) [/FONT]
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Nitamkumbuka sana huyu jamaa katika ile Album aliyoshirikishwa na lile kundi la Tha Dog Pound!
  [​IMG]
  Rest in Peace Nate Dog!
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  RIP
  Mungu amekupenda zaidi ya tulivyokupenda
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Remember Nate Dogg at his best in ‘Regulate'

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  rest in peace.
  Dogg style, regulate, the chronic ulifanya kazi. Enzi hizo nilikuwa naitwa Patra
   
 6. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  R . I . P Nate Dogg. He will always be rememberd as the Best Hip Hop Male Vocalist.
   
 7. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Rip Nate Dogg! i remember you in that wicked tune with Warren G (Regulate)! what a smart song that was!
   
 9. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #9
  Mar 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  and i remember you with Pac at How Long will they mourn........RIP Cuz
   
 10. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Rest in peace nigger!!!!!
   
 11. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Gone too Soon.

  Nat Dogg in Regulate (WARREN G), How Long will they Mourn Me?(2-PAC)
  He was very young fighting a stoke for three damn years which resulted to left side paralysis
  He was then became a born again christian, singing a gospel songs in a choir

  May Almighty God Rest your Soul in Peace
   
 12. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  OH NO.......This is so sad for me...Nate Dogg is my heart singer...listen to his songs every day!

  -Never enough
  -Shake that ft Eminem
  -You can't deny it
  -What we gonna do ft Guerilla Black
  -Warriors ft Loyyd Banks
  -Area code with Ludacriss
  -Like This
  -I got love
  -so fly
  -Ain't no fun
  -Have a party with 50
  -Say My name with Xbit..........and so on,...like his choruss foever!....R.I.P Son!
   
 13. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa walikuwa na kundi lao yeye Nate Dogg na wenzake Snoop Dogg na Warren G liitwalo 213 ambalo waliimba nyimbo chache na kabla hawajamaliza hata Album ya kwanza, Waren G alikuja kumtambulisha Snoop Dogg kwa kaka yake wa kufikia ambaye ni Dr. wa Music aendaye kwa jina la Dr. Dre. Huyu jamaa akiwa mmoja ya waanzilishi wa G-Funky, ndiye aliyekuwa producer mkuu wa Death Raw Record.

  Dr. Dre kabla ya hapo, alikuwa chini ya producer na Rapper mwingine ajulikanaye kama Eazy E. Huyu jamaa alikuwa Gangsta fulani na alikuwa akiwazurumu sana wanamusic wengine na kuwalazimisha kufanya kazi kwake mara akishakusajili na ukitaka kukimbia, anatishia au hata kukuuwa. Akina Dre walikuja kuondoka baada ya kupata Mlinzi mwingine mwenye jina la Suge Knight.

  Walipomkimbia, jamaa aliimba wimbo kuwatukana na akapaka sana ila Dre akamjibu na wimbo huu chini ambao unamuonyesha huyo Eazy-E ambaye sasa ni marehemu na alikufa kwa AIDS. Huu wimbo ni DIRTY please. Eve kwenye wimbo wa "Let me blow your mind", anaimba Eazy come, Eazy Go..... ni majumlisho ya kumcheka huyu jamaa Eazy-E.  Dr. Dre akiwa Death Raw Record, ndipo alipoanza kulijenga kundi zima na hii Style yake ya G-Funky ambayo ilianza kupata sifa na umaarufu mkubwa sana na kupendwa dunia nzima hadi leo hii tunapoandika. Humo ndani wakaanza kuja wanamuziki wengine wenye ujuzi wa hali ya juu. Upigani wa kinanda ambacho hasa ndiyo kilikuwa kinaleta radha kwenye G-Funky (G ni Gangsta) ambacho kilikuwa mwanzo kinapigwa na jamaa aitwaye D.O.C. Tatizo dogo la D.O.C. ni kuwa hakuwa mpigaji kinanda mzuri ila alijua kuzitunga BIT nzuri sana za kianda.

  Hii hali ilikuja kumalizika na D.R.R ikawa full mara alipoingia Mr. Piano Man aka SCOTT STORCH. Myahudi huyu aliyetokea Canada, kwa kweli alikuwa akilipiga kinanda hadi unakubali. Ukisikia nyimbo nyingi za miaka ya 90 ya Dr. Dre, ni jamaa ndiye alikuwa anapiga kinanda hizo sauti zote nzuri nzuri unazisikia kama EVe-Let me blow your mind, 50-Cents-Candy Shop, Outter Contoll, In da club........, Learn Back-Fat Joe etc.

  Ukiangalia hapo juu, utaona kuwa kundi la DRR lilikuwa limekamilika kweli ila kulikuwa kuna tatizo kidogo - RISASI NJE NJE.

  Warren G aliwatambulisha wenzake kwa kaka yake Dr.Dre ambaye ndiyo alikuwa na SAY kubwa sana kwenye kundi. Cha ajambu ni kuwa kaka yake aliwachukua Marehemu Nate Dogg na Snoop Doggy na kumwacha mdogo wake. Wengi wanadai kuwa ni kutokana na hizo risasi nje nje ndiyo akamuacha mdogo wake pembeni ili kumlinda na unyama wote unaofanyika kwenye kwenye mchanyato wa Miziki an Ujambazi.

  Huu ulikuja kujulikana ukweli mara Suge Knight kugeuka kuwa mbogo na kuwafanyia unyama wenzake. Tupac alipigwa risasi akawa kaondoka na wengine wote wakaikimbia DRR na kwenda mbali sana kujificha huku wakiacha mali zao zote. Snoopy alikimbilia kwa baba yake Lil Romeo aka Master P. Dre aliomba tu ruhusa ajitoe na kuanza kujenga himaya yake upya.

  Katika misukosuko hiyo yote, Warren G hakuguswa kabisa na Suge Knight. Pamoja na kuwa hakuwa kwenye kundi kwa kuandikishwa, amekuwa akipata ushirikiano mkubwa sana kwa wana kundi wa DRR na baadaye kwa Himaya mpya ya Dr. Dre.

  Marehemu Nate Dogg katika maisha yake alibaki kuwa pembeni mwa Dr. Dre huku akishirikiana na wanamuziki wote walioko kwenye Himaya yake. Nakumbuka kwa mara ya kwanza kumwona akiimba wimbo wa REGULATE LIVE wakiwa na Warren G. Siku hiyo walimkaribisha Snoop atese na wimbo wake wa "What's my name...." Snoop akatokea akiwa kwenye sehemu walizokaa watu (Kama sikosei ilikuwa ni music award) na kusema "Samahani, leo hii mie sintaimba maana nimewaletea Dogg wengine muwaone....." Hapo ndipo dunia nzima ikawaona LIVE Nate na Warren G wakitesa na huo wimbo. Warren G kama Rapper na Nate kama mwimbaji, walikosha roho za watu saaana na ule wimbo nakumbuka ulitesa kwenye chart dunia nzima.

  Siyo siri kuwa Snoop Doggy alikuja kuwa juu sana kulinganisha na wenzake. Ila bado mwishoni alikuja na kuwaunganisha wenzie na wakamalizia album yao ya THE HARD WAY. Haikuuzwa sana ila wimbo wa Groupie Love ulipendwa na wengi na hadi leo wengi wanaupenda sana na mie nikiwa mmoja wao. RIP NATE DOGG. Video/nyimbo zake mbili ninazozipenda ukiachia wimbo wa Regulate naziweka kwenye ujumbe mwingine.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nate Dogg akiwa na Tupac  Nate Dogg, Snoop Doggy na Warren G......  RIP NATE DOGG....... Waikumbuka hii show ya MTV? Hii ndiyo ilimuuza Nate Dogg maana hii imbaji haikuwa yajulikana kabisa.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  I still feel his vibes in so many songs including 21 question...we gonna miss u! RIP nephew
   
 16. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  R.I.P Nate
   
Loading...