Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
He he he he, hajali size aisee
Tena yeye anaona poa tu, si unajua tena wasukuma kwa Big size?
Niliwahi kuwa na tatizo kama la kwako, kuwa nikianza mazoezi sidumu hata wiki, ila baadae nilikuja kupata suluhisho. Tulikubaliana marafiki watano kuanzisha "fat club" ya kufanya mazoezi kila jioni, siku 5 kwa wiki. Mtu usipofika unalipa faini ya sh elfu 5 kwa siku. Ukichelewa sh elfu 2. Kila nilipokuwa nawaza sh elfu 5 zangu uvivu uliniishia hadi baadae nikajikuta nimekuwa committed. Tulianza watu watano, but baadae wakaongezeka hadi tukafika 11. Ndani ya miezi 6 nilifanikiwa kupunguza kilo 12. Ela tulizokuwa tunakusanya tulizitumia kununua vifaa vya mazoezi vidogo vidogo kama kamba za kuruka nk. Kuna jamaa alipunguza kilo 20 kwa hiyo miezi 6...
Kwahiyo ninachoweza kukushauri kama una rafiki mmoja au wawili wenye nia kama hiyo anzisheni kikundi na mujiwekee sheria kabisa... Kufanya mazoezi mwenyewe inatia uvivu...
una ngapi kwani?
manake si ajabu ukawa unalia lia hapa kumbe ulikuwa na 65 sa hz una 68
and hiyo miezi kumi nyuma kwa kumbukumbu zangu ndio zombie alitolewa kwenye uzombie sio!?
THE IDEA TU YA KUWA U'R IN LOVE INAKUFANYA URELAX!
its okeeeey!utapungua tu with time!
Ni wenge zangu tu, kuna size fulani nikifikia amani yote inatoweka
Sipendi nikiwa hivi, hata nikiwa na mtoko ziwezi vaa kata mikono, mkufu haukai shingoni?!
Hivi unajua wengine tukiwa na stress ndio tunakula sana?
Inaweza kuwa vice verse pia, yaani mie nahisi namzidi ng'ombe uzito.
Unataka kuniua?
Mazoezi peke yake kama yameshindwa kutatua tatizo lako , jaribu kutumia alternatives zingine. Moja ya alternatives hizo ni Slimming orange juice katika labels mbalimbali za biashara, kwa mfano Curvey slimming juice amabayo imetengenezwa kwa kutumia matunda ya asili n amboga mboga. Kuna ya coffee na ya orange. Ya Orange ina orange juice, water soluble pearl powder, dietary fibre, fluctoligose na vitamins. inanywewa ikiwa moto au baridi, mara moja kwa siku. Matokeo yake ni ndani ya siku 14. Hairuhusiwi kwa waja wazito, wanaonyonyesha na watoto. BE HAPPY.Addiction mbaya jamani, roho I radhi lakini mwili dhaifu.
Msianze kuninanga, nahitaji kupewa moyo kuwa naweza kufanya na kufanikiwa. Natamani kuona ushuhuda kutoka kwa wenye tatizo kama langu na wanakabilianaje nalo.
Ni uzito wa mwili, umeanza kuninyima raha kabisa, nahisi nitakuwa depressed mwishowe. Nikifanya mazoezi wiki moja tu najikuta ratiba vululu vululu. Nikijaribu dayati ndio kabisaaa. Too much addicted to kyukyu, chapati, wali, soda and ice cream. Sijui mateja wa unga inawawia ngumu kiasi gani.
Natatizika, sina raha kabisa, msaada tafadhali.
MI MWENYWE HIVO HIVO
hapa nshapiga thupu,na tikiti maji.kuna juice inanisubiri muda si mrefu
Kiukweli watu wa kijijini ndio wanapenda kuwa wanene... Ukiona wa mjinj karizika nao ujue tu kakata tamaa...Asante, angalau kuna wengine kumbe wanajali uzito.
Nilidhani ni mie tu, ngoja nijaribu kupata wengine kama nitaweza.
Ukinenepa kama konnie ntakuadhbu walahi.. Unataka kile kikampuni uchwara cha ndege kgome kukupa tiket kwa sababu ya uzito mkubwa?
Kiukweli watu wa kijijini ndio wanapenda kuwa wanene... Ukiona wa mjinj karizika nao ujue tu kakata tamaa...
ahahahahahha wat if zombie alimpata kwa kuongezeka uzito!
unajua mnakariri sana nyie!
shauri yenu!
Mimi naweza kukushauri labda njia moja mbili ambazo naona unaweza kutumia kuforgeAddiction mbaya jamani, roho I radhi lakini mwili dhaifu.
Msianze kuninanga, nahitaji kupewa moyo kuwa naweza kufanya na kufanikiwa. Natamani kuona ushuhuda kutoka kwa wenye tatizo kama langu na wanakabilianaje nalo.
Ni uzito wa mwili, umeanza kuninyima raha kabisa, nahisi nitakuwa depressed mwishowe. Nikifanya mazoezi wiki moja tu najikuta ratiba vululu vululu. Nikijaribu dayati ndio kabisaaa. Too much addicted to kyukyu, chapati, wali, soda and ice cream. Sijui mateja wa unga inawawia ngumu kiasi gani.
Natatizika, sina raha kabisa, msaada tafadhali.
Mimi pia nina tatizo hili lakini nimepanga kuanza mazoezi kesho
Nimejitahidi kupunguza kula lakini wapi
Karibu tuwe pamoja
Kesho tu naanza!!!!!!!!!!!!
Hii haijawahi kukosea. Nna uhakika kabisa
1. Panga mida maalum ya chakula kwa asubuhi, mchana na jioni (hakikisha mlo wa jioni haupangwi zaidi ya saa mbili usiku)
2. Usile chochote nje ya mida maalum ya chakula (unaweza kunywa maji, ila snacks za aina yoyote haziruhusiwi)
3. Milo yote mitatu hakika ina fungu la mbogamboga na matunda
4. Tembea (haraka) kwa walau dakika 30 kwa siku. (hata kwenda window shopping poa)
Ukifanya hivyo hutakaa unenepe 🙂
Basi tupeane mikakati ya kupungua hata 2 kg kwa mwezi, mie nshaanza.
Nimeamua kuondoa starch na mafuta kwenye menyu yangu, ni mboga mboga na matumba tu.
Daym, kuku ni zaidi ya kokein kwangu lol, but najitahidi.