Natangaza rasmi!!!

Natangaza rasmi!!!

Unataka kutoa siri ya kuhusu hiyo mimba? HAta kaa kimya namjua watu8 atanifilisi daaah najuuta kuzaliwa


My lovely daddy watu8 yaani hata cjui nianzie wapi make hii ni aibu hata kusema... Ukweli C6 ni mtu mwema ila kosa ni langu... ntakufuata chema tuongee.. Ila nipromise hutonikana kuwa mimi ni mwanao kwa hii aibu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mabibi na Mabwana habarini za asubuhi....

Kutokana na kimya kingi kutawala katika NDOA yangu na C6 sasa natangaza rasmi kukiaga Chama cha TAMU (Tanzania Married Union) Taratibu zote zimekwisha fanyika, kilichokuwa kimebaki ni kuwataarifu wana Chitchat. . . .

Sitopenda kuchumbiwa kwa sasa mpaka hapo nitakapotoa taarifa. Walokuwa wakinimendea endeleeni kukaza kamba huenda kuna siku ntawafikiria.

Wasaalam Single lady a.k.a Miss Chitchat 2012!!!!!!!

Nakala kwa : Baba V
C6 huyu huyu ninaye pigana nae vikumbo kule Tech, Gadgets & Science Forum?!au mwingine?mbona ni kijana mstaarabu sana yule.kulikoni charminglady ?au wewe tatizo?
 
Back
Top Bottom