Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,627
Mmmh!! aibu yako aibu yangu daughter...daddy and mumy luv you a lot, nitafurahi kama ukinieleza shida ipo wapi mpenzi tutasolve pamoja...

nasubiri hali ya hewa itulie ili niweze toa tamko langu rasmi, kwa sasa nna uchungu na hasira kwa nilichogundua,
ntarudi soon ntakapokuwa nime calm down...
nakala kwa: watu8, Baba V, gfsonwin, Chimbuvu, charminglady
I like your parenting! Good dad!
nasubiri hali ya hewa itulie ili niweze toa tamko langu rasmi, kwa sasa nna uchungu na hasira kwa nilichogundua,
ntarudi soon ntakapokuwa nime calm down...
nakala kwa: watu8, Baba V, gfsonwin, Chimbuvu, charminglady
..mkuu ucjari ni UPEPO TU UTAPITA..we subiria WHITE PARTY ipite..atakuja mwenyewe..hahahahahanasubiri hali ya hewa itulie ili niweze toa tamko langu rasmi, kwa sasa nna uchungu na hasira kwa nilichogundua,
ntarudi soon ntakapokuwa nime calm down...
nakala kwa: watu8, Baba V, gfsonwin, Chimbuvu, charminglady
Hapa nasikia harufu ya damu. acha nijipitie pembeni mimi
Oukey Daddy... ngoja niongeze salio then nkupigie make kwa maandishi nashindwa kueleza!!!!
Wyf yamekuwa hayo tena? charminglady ni shemeji yangu na niliimaanisha kuwa nataka nikae kuongea nae sababu hasa iliyosababisha afikie huo uamuzi,kwanza kwa akili hata za kubambikiwa siwezi kumuacha mke wangu ambaye ana mimba yangu na kumfuata mwanamke ambaye ana mimba ya mwanaume mwingine. Madame B wewe ni wangu mama,hofu na mashaka ondoa kabisa.kwako sioni situlii na dawa ya Arushaone , tedo Chibolo imeiva .waswahili wanasema ukiwa unakula na kipofu usimshike mkono,,sasa hawa wamenishika mikono kabisa
ole ole ole ole
..mkuu ucjari ni UPEPO TU UTAPITA..we subiria WHITE PARTY ipite..atakuja mwenyewe..hahahahaha
..unajua kupeana Moyo muhimu sana..ndio nilichofanya..hapoMkuu wala si kwaa ajili WHITE PARTY ni suala la kifamilia zaidi...