Natangaza rasmi!!!

Natangaza rasmi!!!

Mabibi na Mabwana habarini za asubuhi....

Kutokana na kimya kingi kutawala katika NDOA yangu na C6 sasa natangaza rasmi kukiaga Chama cha TAMU (Tanzania Married Union) Taratibu zote zimekwisha fanyika, kilichokuwa kimebaki ni kuwataarifu wana Chitchat. . . .

Sitopenda kuchumbiwa kwa sasa mpaka hapo nitakapotoa taarifa. Walokuwa wakinimendea endeleeni kukaza kamba huenda kuna siku ntawafikiria.

Wasaalam Single lady a.k.a Miss Chitchat 2012!!!!!!!

Nakala kwa : Baba V
Sisi wa MBA tupo.. Muda ukifika tupeane taarifa
 
Nilijua tu lazima utoe tamko hili, ila charminglady yule mzungu anakupenda sana....!!!!

Umeona eeeh..... Yan najuta kwanini nilichelewa. Ila hakijaharibika kitu kwan ultrasound imeonesha copy yake, ndo maana nimejitoa mapema kabla cjaumbuka¡¡¡¡¡¡
 
Last edited by a moderator:
Hivi Baba V una nini nami????? Nakuuliza una nini nami?????? Ina.maana huoni hili bandiko au? Mwenzio sijielewi elewi ati!!!!!!!

Kuna chama limeanzishwa huku nashindwa kujisajili sababu yako, kama umehongwa na C6 ili usitoe tamko la talaka si useme khaaaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
sijamuhonga, ila charminglady labda tuandike tamko rasmi la kuachana maana taarifa uliyotoa katika bandiko hili Baba V anadhani kuna majadiliano labda tunataka kunusuru, divorce papers ziko tayari na since hukai kwenye jumba langu tena nadhani iwe official, tamko la pamoja, nimerudi sasa niko hapa kwa wingi, au wewe unaonaje?
 
Mie nakusubiri wewe C6 tu make naitakaje hiyo talakaaaa......

Evelyn Salt shoga angu.... hebu kuja pande hizi unisaidie kubeba talaka yangi afu moja kwa moja kwa mtashaaaaaaa!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ol the best kwenye hilo chama jipya, lakini kwa nini usiige mfano wa ndoa ya baba yako
 
Mie nakusubiri wewe C6 tu make naitakaje hiyo talakaaaa......

Evelyn Salt shoga angu.... hebu kuja pande hizi unisaidie kubeba talaka yangi afu moja kwa moja kwa mtashaaaaaaa!!!!!!

Tutakulaje bata na babu wa kizungu!!!!
huyu [MENTION]C6[/MENTION] atajirudisha mwenyewe.....
tumuombee njaa tu
 
Afadhali muachane na sie wengine tuonekane maana kua nyumba ndogo kumetuchosha!
 
Back
Top Bottom