Natangaza rasmi!!!

Natangaza rasmi!!!

Kweli maji hayasahau baridi!!! Hatimae umeridhia. Sasa ukipashe tu kiporo chako ule!

Me sina neno ila nampa Chimbuvu 24hrs aje hapa Mahakamani aniambie kwanini anamtongoza charminglady hadharani?
Asipojitokeza,navunja ndoa kwa mikono yangu mwenyewe leo hii na pia namtangaza mume wangu mpya ambae ataungana na akina Arushaone, Chilli, tedo na Chibolo kwenye 6Some.
 
Last edited by a moderator:
Mabibi na Mabwana habarini za asubuhi....

Kutokana na kimya kingi kutawala katika NDOA yangu na C6 sasa natangaza rasmi kukiaga Chama cha TAMU (Tanzania Married Union) Taratibu zote zimekwisha fanyika, kilichokuwa kimebaki ni kuwataarifu wana Chitchat. . . .

Sitopenda kuchumbiwa kwa sasa mpaka hapo nitakapotoa taarifa. Walokuwa wakinimendea endeleeni kukaza kamba huenda kuna siku ntawafikiria.

Wasaalam Single lady a.k.a Miss Chitchat 2012!!!!!!!

Nakala kwa : Baba V

Namsubiri C6 aje hapa, Ruttashobolwa na Kipipi andaeni mafaili yenu just in case....!!
 
Last edited by a moderator:
Mabibi na Mabwana habarini za asubuhi....

Kutokana na kimya kingi kutawala katika NDOA yangu na C6 sasa natangaza rasmi kukiaga Chama cha TAMU (Tanzania Married Union) Taratibu zote zimekwisha fanyika, kilichokuwa kimebaki ni kuwataarifu wana Chitchat. . . .

Sitopenda kuchumbiwa kwa sasa mpaka hapo nitakapotoa taarifa. Walokuwa wakinimendea endeleeni kukaza kamba huenda kuna siku ntawafikiria.

Wasaalam Single lady a.k.a Miss Chitchat 2012!!!!!!!

Nakala kwa : Baba V

Hii siku nimeingoja sana...kweli Mungu hamtupi mja wake...
 
Last edited by a moderator:
Wyf yamekuwa hayo tena? charminglady ni shemeji yangu na niliimaanisha kuwa nataka nikae kuongea nae sababu hasa iliyosababisha afikie huo uamuzi,kwanza kwa akili hata za kubambikiwa siwezi kumuacha mke wangu ambaye ana mimba yangu na kumfuata mwanamke ambaye ana mimba ya mwanaume mwingine. Madame B wewe ni wangu mama,hofu na mashaka ondoa kabisa.kwako sioni situlii na dawa ya Arushaone , tedo Chibolo imeiva .waswahili wanasema ukiwa unakula na kipofu usimshike mkono,,sasa hawa wamenishika mikono kabisa
ole ole ole ole




Me sina neno ila nampa Chimbuvu 24hrs aje hapa Mahakamani aniambie kwanini anamtongoza charminglady hadharani?
Asipojitokeza,navunja ndoa kwa mikono yangu mwenyewe leo hii na pia namtangaza mume wangu mpya ambae ataungana na akina Arushaone, Chilli, tedo na Chibolo kwenye 6Some.
 
Last edited by a moderator:
charminglady hata upepo ubadi uelekeo..
Sitopenda kuchumbiwa kwa sasa mpaka hapo nitakapotoa taarifa. Walokuwa wakinimendea endeleeni kukaza kamba huenda kuna siku ntawafikiria.

Hivi hiyo kauli hujaiona??????? Au ndo umejitoa akili!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Me sina neno ila nampa Chimbuvu 24hrs aje hapa Mahakamani aniambie kwanini anamtongoza charminglady hadharani?
Asipojitokeza,navunja ndoa kwa mikono yangu mwenyewe leo hii na pia namtangaza mume wangu mpya ambae ataungana na akina Arushaone, Chilli, tedo na Chibolo kwenye 6Some.

We mdada Chimbuvu kantongoza wapi hadharani......... Sitaki kuwa chanzo cha kuvunja ndouwa ya omuntu!!!:nimekataa
 
Last edited by a moderator:
charmingladyyyyyy ujue nakuangalia tu...ndio nini hujamwambia daddy mapema??? nani huyo anayekuzuzua mwanangu?

cc: measkron

My lovely daddy watu8 yaani hata cjui nianzie wapi make hii ni aibu hata kusema... Ukweli C6 ni mtu mwema ila kosa ni langu... ntakufuata chema tuongee.. Ila nipromise hutonikana kuwa mimi ni mwanao kwa hii aibu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Afu si ana mimba ya miezi nane na wiki mbili huyu..., I hate to hear this..!!
Baba V mwenyekiti wetu nitakusaka chemba tulisuluhishe hili make ni msala wa kufa mtu... Na hii mimba we acha tu ndo hivyo nakaribia kutoa chata ya mtu humu ila..............!!!!!!!!!!!!!:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom