Natangaza rasmi mimi na huu mtandao KWISHAAAA

Halafu tigo wana mpya nyingine ukijiunga kifurushi cha wiki kama ni j.tano ikifika j.nne saa 6 uck wanakata eti ndio wamebadili masaa, hizo mb zetu zitawapalia cku moja hamna tofauti na mafisadi wengine mnafaa kutumbuliwa kwa sululu maana mikasi haitafaa kutumbua mijipu yenu.
 
Nyie huko tigo manfanu nn?njoon halotel huku interner speed ya jet...achanen na 4g uchwara hizo ambazo hazifikii hata nusu ya speed ya 3g halotel
tigoooooo.png

Temea chini kaka!!
Sie wengine maeneo yetu yapo vizuri sana upande wa tigo 4g.
Hapo ni eneo la FIRE Dar yaani Kuanzia Jangwani kwenda upana Rahatupu
 
Nilikuwa naponda sana lakini leo ninakiri, nikiwa na akili timamu kuwa HALOTEL NI MKOMBOZI WA WATANZANIA, 4G TUPA KULEEEEE!!!!!!
Wasi wasi wangu kwamba ukiona hata makampuni yanapunguza vifurushi kwa wakati mmoja basi kuna mkono wa ccm(serikali) kesho unaweza kukuta Halotel nao wamelazimishwa kupunguza.
 
Wasi wasi wangu kwamba ukiona hata makampuni yanapunguza vifurushi kwa wakati mmoja basi kuna mkono wa ccm(serikali) kesho unaweza kukuta Halotel nao wamelazimishwa kupunguza.
Kuna muda ukiangalia kiundani huwezi kuona kama kuna ushindani wa kibishara kati yao. Maana hakuna kampuni ambayo utakayoweza kusema ni mkombozi hasa.
 
View attachment 382339
Temea chini kaka!!
Sie wengine maeneo yetu yapo vizuri sana upande wa tigo 4g.
Hapo ni eneo la FIRE Dar yaani Kuanzia Jangwani kwenda upana Rahatupu
Vizuri sana, hiyo ni approximately 8MB/s down speed, lakini spidi hiyo ina faida gani kama vifurushi ni expensive? mimi naona 1MB/s ya halotel yenye bei ndogo ni bora zaidi.. Maana kwa spidi hiyo ya tigo kifurushi cha tshs 1000 ambayo unapata mb 350 unakimaliza ndani ya sekunde 43 sasa raha ipo wapi?
 
Wasi wasi wangu kwamba ukiona hata makampuni yanapunguza vifurushi kwa wakati mmoja basi kuna mkono wa ccm(serikali) kesho unaweza kukuta Halotel nao wamelazimishwa kupunguza.
Kama nilivyo sema tokea Mwanzo kama watashusha wote kwa pamoja basi nitajiunga kwenye vile vifurushi visivyo rasmi au naenda Smile 4g niweke unlimited mwezi nisahau maswala ya bundle.

Lakini siamini maana wote walivyokaa kwenye Mb500 kwa 1000 halotel akawa anatoa 1 gb na bado anaendelea so nadhani kwamba kuna incentive flani anapewa tofauti na wenzake.
 
Back
Top Bottom