Hatimaye Halotel wazidiwa na kuelemewa na mtandao rasmi

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,890
Ni dhahiri sasa halotel wameshaelemewa, washazidiwa rasmi mtandao umekua mzito yaani speed ya kobe tu

Nipo location ambayo halotel inakamata kisawa sawa kitu inasoma 4g lakin voice note ya kb 102 hapo watsaap inaload kwa dk 10 huu si upuuzi sasa?

Piga ua voda watabaki juu mawinguni mimi hadi sasa nashindwaga kujua mitambo ya voda inakuaga na nini ambacho wengine hawana yaani 4g ya halotel ni sawa na 3g kwa voda
 
Halotel bei nzuri kwenye bundle za internet ila network inabore sana. Ukiwa unaattach document utatamani kuipasua simu au laptop.
 
Ni dhahiri sasa halotel wameshaelemewa, washazidiwa rasmi mtandao umekua mzito yaani speed ya kobe tu

Nipo location ambayo halotel inakamata kisawa sawa kitu inasoma 4g lakin voice note ya kb 102 hapo watsaap inaload kwa dk 10 huu si upuuzi sasa?

Piga ua voda watabaki juu mawinguni mimi hadi sasa nashindwaga kujua mitambo ya voda inakuaga na nini ambacho wengine hawana yaani 4g ya halotel ni sawa na 3g kwa voda
4G ya Halotel ni sawa na 2G ya Vodacom mkuu.... Usiwape sifa ambayo hawana hata kidogo.

Asante
 
Vodacom wanachoharibu ni bei zao tu. Hawajui hata kucaptalize soko hawa voda. Wangekuwa na bei rafiki nadhani kila mtu angetumia voda kwenye internet.
Bei rahisi na huduma bora ni nadharia isiyowezekana, bei ikiwa rahisi idadi ya watumiaji kwa wakati mmoja (concurrent users) inakua kubwa, network traffic inakua overloaded na ndio ubora wa huduma hupungua

1.Bank yenye charges ndogo huwa na foleni
2. Usafiri wa bei rahisi huwa wa kugombania
3.Bia za bei rahisi huwa ubora wa chini
3.Wanawake wa bei rahisi huwa wachafu
4. Shule za bei rahisi huwa na ufundishaji duni
 
Hoja yako haina mashiko mkuu. Unaweza kuwa na bei rahisi na ukatoa huduma bora. Kuna kitu kinaitwa economy of scale sijui unakijua? Kwani voda wakishusha bei mitambo yao itaharibika? Kwa hiyo tukisema watu wote tuhamie voda bila kujali bei yao voda watatukatalia kwamba mitambo yao itakuwa overloaded?
 
Mkuu mbona unikata main mda mrefu nilishaikataa haloteli

Kuna mtu kaniaminisha kwamba kwamba kwa sasa haloteli ipo fresh

Sasa ndo nimetoka kununua vocha niweke bando nakutana huu uzi

Mchizi fala kweli kaniaminisha ipo sawa wakati mie mwenyew najua kitambo ilishazingua
 
Halotel ilikuwa bomba sana walipoanza. Internet yao ilikuwa na kasi sana halafu bei chee. Lakini kuanzia mwezi March mwaka huu mtandao wao umekuwa wa hovyo sana.
Binafsi nimerudi Airtel.
 
Watanzania wanapenda good quality na cheap at the same time...hamia internet ni Vodacom..mpesa ni Vodacom..vingine tafuta uko
 
Sina Hamu na Halotel nilikosea toa hela hadi leo wamegoma nirejeshea
 
Back
Top Bottom