Natangaza rasmi kuwa nipo upande wa Edward Lowasa

Huyu ndiyo nani tena?
Usishangae Mkuu. Ameshatanguliza, "katika umri wangu....." Inawezekana Sumaye amemsikia kwa masimulizi tu maana yeye (Yule) alikuwa mdogo sana wakati huo. Kwa hiyo kwa kusimuliwa unaweza kusikia "Sumai" kumbe imetamkwa "Sumaye". Msamehe mdogo wako, mweleweshe tu.
 
TEH TEH TEH TEH TEH TEH UNAMPENDA NANI? Lowasa!!!! Unajaribu kukumbatia nyuki dogo...ALAFU UNAONYESHA KM VILE MJUKUU WA LOWASA
 
Simpendi na namchukia ,nina sababu.

Mimi nadhani tuachane na mambo ya Lowasa. Yeye sio tishio kwa upinzani. Hebu tuikabe koo ccm kila upande. Moja ya mambo ambayo yatasaidia kuisambaratisha ccm ni viongozi wake kuhamia upinzani. SI mnakumbuka kanu ya kenya? Wacha contradictions ndani ya chama chao km kutoa kafara na majungu ya wao kwa wao yawasambaratishe. Wapo viongozi wengi ccm wanatka kuhama lakini hawana uhakika km watapokelewa chadema. Wacha waje, tumwondoe huyu mzimu CCM kwanza mengine baadaye.
 
Ni kweli alikuwa ni mtu anayewajibika sana katika nafasi yake, kwa sasa labda ajaribu kugombea kuingia magogoni ninauhakika akiingia atawanyoosha sana wale wazembe wazembe.
 
Wanamtandao kwa kupiga dili we acha tu.Mafuta na Gas viko Mtwara wanainjoy wao huko Dar,hii Nchi bwana,HUNISHAWISHI KUMPENDA .
 
Katika umri wangu huu, mawaziri wakuu ambao nawakumbuka kiutendaji ni Sumai, Lowasa na sasa Pinda. Kati ya hawa, Lowasa peke yake ndie alie kuwa waziri mkuu kamili. Alikuwa ana uwezo wa kuamua jambo ili mradi mambo yaende na angekuwa mpaka leo ni waziri mkuu, tungekuwa mbali

mkuu una akili sana! Ni kweli kabisa lakini hii nchi tukiwapa wakina slaa na mchumba wake tutakuwa tumekwisha.
Chezea wachaga weyeeee
 
Katika umri wangu huu, mawaziri wakuu ambao nawakumbuka kiutendaji ni Sumai, Lowasa na sasa Pinda. Kati ya hawa, Lowasa peke yake ndie alie kuwa waziri mkuu kamili. Alikuwa ana uwezo wa kuamua jambo ili mradi mambo yaende na angekuwa mpaka leo ni waziri mkuu, tungekuwa mbali

Nakubaliana nawe kaka japo mm na ccm ni kama West& East kama siyo kashfa ya richmond lowasa ni jembe. Alikuwa ni mtu wa maamuzi na creative. He was a real leader when it comes within his ability. Lowasa alikuwa ni mfano mzuri wa kiongozi mchapa kazi na mwajibikaji. nakumbuka kuna siku Alikataa riport ya Halimashauri moja kanda ya ziwa baada ya kuwepo magumashi na aliyekuwa mkuu wa wilaya hiyo akatengeneza bifu kubwa naye. pia decision ya maji ya lake victoria akiwa waziri wa Maji na mifugo, kuvunja mkataba na wakanada kwa iliyokuwa DAWASA ni moja ya kazi chache tunazoweza kuelezea kuhusu hili jembe Lowasa. Angekuwepo hat RITES hawangepewa mkataba wa marehemu reli ya Kati ailyoibeba pinda na kuamua serikali kulipa watumishi several times. Lowasa ni jembe kilaza kama wengine.
 
Lowassa ni chaguo langu pia namkubali sana ila tatizo ninalotofautiana naye ni moja tu anapenda kushirikiana na wanafiki washwahili kwenye michakato yake ya siasa wanamfitini...,badala angekomaa na watu wake wa kaskazini na wananchi kwa ujumla angekua bonge la good leader...uswahiba na washahiri na waarabu unamponza kutimiza malengo yake..wanamuhujumu bila ye kujijuaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Katika umri wangu huu, mawaziri wakuu ambao nawakumbuka kiutendaji ni Sumai, Lowasa na sasa Pinda. Kati ya hawa, Lowasa peke yake ndie alie kuwa waziri mkuu kamili. Alikuwa ana uwezo wa kuamua jambo ili mradi mambo yaende na angekuwa mpaka leo ni waziri mkuu, tungekuwa mbali

karibu jf,bora wewe umeshaeleweka kuwa ni gamba,na kuna pande tatu hapa,magamba,magwanda na wale wenzetu ambao hawavumi lakini wamo,wazee wa hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...............haki sawa kwa naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......asiyependa hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Lowasa angekuwa w/mkuu angelikuwa mpaka sasa amejitengenezea makampuni mengine kumi feki km richmond. Nasikia mpaka anaondoka alikuwa kajitengenezea tukampuni tutatu tu kakiwemo rich na swahiba wake kikwete.
 
Katika umri wangu huu, mawaziri wakuu ambao nawakumbuka kiutendaji ni Sumai, Lowasa na sasa Pinda. Kati ya hawa, Lowasa peke yake ndie alie kuwa waziri mkuu kamili. Alikuwa ana uwezo wa kuamua jambo ili mradi mambo yaende na angekuwa mpaka leo ni waziri mkuu, tungekuwa mbali

mkuu inajionyesha dhahiri kwamba umetumwa kuja kuwasafisha mafisadi.
nakusikitikia kuwa umejia wakati mbaya sana watu wa leo wamejua pumba na mchele
karibu sana JF ila una kazi ngumu kumsafisha huyo fisadi inaonyesha wewe umetumwa.
 
Inakuwa ngumu kwangu kuelewa nini maana ya utendaji kazi mzuri naomba labda nieleweshwe,huwezi kuwa mtenda kazi mzuri wakati unaiba pesa ya umma tena sio FISADI TU NI MUHUJUMU UCHUMI kama mtu anaweza kuhujumu uchumi awe kiongozi mzuri tena mtendaji mzuri,ndugu yangu hapo ujaeleweka kama umevuta hela kwa LOWASA uje kumsafisha huwezi kula hizo hela ukae kimya.
 
Katika umri wangu huu, mawaziri wakuu ambao nawakumbuka kiutendaji ni Sumai, Lowasa na sasa Pinda. Kati ya hawa, Lowasa peke yake ndie alie kuwa waziri mkuu kamili. Alikuwa ana uwezo wa kuamua jambo ili mradi mambo yaende na angekuwa mpaka leo ni waziri mkuu, tungekuwa mbali

kweli wekilaza kwelikweli!
 
Unathibitishaje ccm yote imeoza ndugu yangu?, you should be reasoning before talking, ccm ina members wasafi na wazuri kuliko hata cdm
 
Back
Top Bottom