Usishangae Mkuu. Ameshatanguliza, "katika umri wangu....." Inawezekana Sumaye amemsikia kwa masimulizi tu maana yeye (Yule) alikuwa mdogo sana wakati huo. Kwa hiyo kwa kusimuliwa unaweza kusikia "Sumai" kumbe imetamkwa "Sumaye". Msamehe mdogo wako, mweleweshe tu.Huyu ndiyo nani tena?