natangaza nia

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
wapendwa wanachitchat natumai wote ni wazima nimekua nikilipita hili jukwaa kwa sababu mnajuana na mimi leo naomba nitangaze natafuta kaka dada mama cousins husband sis in law bro in law baba nephew n.k mwenye kutaka nafasi yeyote aseme na position gani NI kwa ajil ya CHITCHAT nawakilisha kaaribuni wote
 
Duh! Watakuja sasa hv, mie nko hapa kibarazan nkiwaona wanapita ntakustua ukajinakshi
 
Kuna position ya kua escort? Escort ni a personal minder ambae anakua na wewe popote uendapo Kama vile
Bouncer flani hivi bt in a nicer way. :happy:
 
Na mimi soon nitatangaza nia. Mi nataka position ya ....., ngoja niongee na Mentor kama tunaweza kukuadapt uwe mtoto wetu.

Huyu awe mwanetu Catherine..i remember saturday evening maneno uliyoniambi..i believe u will make a very good mother...am so happy n i feel proud to have u!
 
Last edited by a moderator:
mbona hujaweka P.O.Box tutume hizo application...mi nitakua mshenga

mbona umeenda mbali sana mchumba mwenyewe hajajitokeza lol

mimi niwe mmeo. hii nafasi nmetangulia.Mia

Mkuuu watu8 umetuanzishia vizuri kweli,na nakukubali Eversmilin Gal ulivyokuwa wazi kuhusu suala la mchumba ila naona hapa figganigga umeenda mbali zaidi, kawaida tunaanzia kwenye uchumba ndio mambo ya ndoa yanafuata hivyo mimi naomba nafasi ya uchumba kwako Eversmilin Gal na figganigga jitayarishe kuwa mpinzani wangu..hata kama umenitangulia kutangaza nia...Mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom