natangaza nia

Mkuuu watu8 umetuanzishia vizuri kweli,na nakukubali Eversmilin Gal ulivyokuwa wazi kuhusu suala la mchumba ila naona hapa figganigga umeenda mbali zaidi, kawaida tunaanzia kwenye uchumba ndio mambo ya ndoa yanafuata hivyo mimi naomba nafasi ya uchumba kwako Eversmilin Gal na figganigga jitayarishe kuwa mpinzani wangu..hata kama umenitangulia kutangaza nia...Mia
heee twin!! njoo huku watu washaanzsha upinzani!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom